GE2025 Jeshi la Polisi: Atakayethubutu kuvunja sheria Oktoba 29 asitulaumu kwa hatua itakayochukuliwa dhidi yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722

Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika nafasi ya Urais, Wabunge na
Madiwani.

Jeshi la Polisi kupitia taarifa hii, lingependa kuwahakikishia wananchi na wageni watakao kuwa nchini mwetu kuwa hali ya usalama wa nchi ni shwari sana na hakuna tishio lolote la kiusalama linalo weza kufanya shughuli hiyo ya kupiga kura isifanyike kwa amani.

Pia wananchi mnahakikishiwa amani na usalama wa kutosha siku hiyo ya jumatano, hivyo mjitokeze kwa wingi kama mlivyojiandikisha kwenda kupiga kura bila hofu yeyote ile.

Aidha, lina wahakikishia limejipanga vizuri sana kumdhibiti yeyote yule kwa mujibu wa sheria atakaye jitokeza ama kwa makusudi au nia ovu kuvunja sheria za nchi ili kuhatarisha amani ya nchi kwa kisingizio chochote kile siku hiyo ya kupiga kura na baada ya kupiga kura.

Atakaye thubutu kuvunja sheria asilaumu kwa hatua zitakazo chukuliwa dhidi yake kwa mujibu wa sheria za nchi, kwani elimu imetolewa vya kutosha na kwa muda mrefu.

Polisi 29.jpg
 
TANPOL is a bunch of idiots!
 
Na yy asitulaumu kwa tutakachomfanyia.
 
Tar. 29 ntarandaranda sn tu mitandaoni ili niwaone hao waandamanaji. Najua maandamano yatatia fora sn na keyboard worriers watakuwa busy sn kushindana kupost vijihabari vyao humu
 
Police wetu tatizo lao shule/akili hawana, badala ya ku side na wananchi wanaotetea maisha yao & familia zao kwa ujinga wanawatetea watawala...wenye maisha ya juu na wasiojali maisha ya police haohao wanaowatetea!!.
Hii ni maajabu!
 
Hilo jeshi linaweza kuthibiti tu maandamano vipi watekaji limewashindwa?

Leo CHADEMA imetoa list ya matekan 52 tangu mwezi October uanze je hao polisi hawahusiki kulinda watu wasitekwe?

Basi tuliite jeshi la maandamano na sio polisi.
 
Baada ya Lamomy Kuona hii taarifa alienda kukata ticket sahivi kapanda Kibomboi Express anaenda kwao Lushoto kujificha uvunguni hadi tarehe 29 ipite
 
Tusitishane, lazima tuwarushie vimondo majambazi wakubwa nyie manjagu
 
Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika nafasi ya Urais, Wabunge na
Madiwani.

Jeshi la Polisi kupitia taarifa hii, lingependa kuwahakikishia wananchi na wageni watakao kuwa nchini mwetu kuwa hali ya usalama wa nchi ni shwari sana na hakuna tishio lolote la kiusalama linalo weza kufanya shughuli hiyo ya kupiga kura isifanyike kwa amani.

Pia wananchi mnahakikishiwa amani na usalama wa kutosha siku hiyo ya jumatano, hivyo mjitokeze kwa wingi kama mlivyojiandikisha kwenda kupiga kura bila hofu yeyote ile.

Aidha, lina wahakikishia limejipanga vizuri sana kumdhibiti yeyote yule kwa mujibu wa sheria atakaye jitokeza ama kwa makusudi au nia ovu kuvunja sheria za nchi ili kuhatarisha amani ya nchi kwa kisingizio chochote kile siku hiyo ya kupiga kura na baada ya kupiga kura.

Atakaye thubutu kuvunja sheria asilaumu kwa hatua zitakazo chukuliwa dhidi yake kwa mujibu wa sheria za nchi, kwani elimu imetolewa vya kutosha na kwa muda mrefu.

Maandamano sio kosa kisheria.
 
Back
Top Bottom