Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
TANPOL is a bunch of idiots!
Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika nafasi ya Urais, Wabunge na
Madiwani.
Jeshi la Polisi kupitia taarifa hii, lingependa kuwahakikishia wananchi na wageni watakao kuwa nchini mwetu kuwa hali ya usalama wa nchi ni shwari sana na hakuna tishio lolote la kiusalama linalo weza kufanya shughuli hiyo ya kupiga kura isifanyike kwa amani.
Pia wananchi mnahakikishiwa amani na usalama wa kutosha siku hiyo ya jumatano, hivyo mjitokeze kwa wingi kama mlivyojiandikisha kwenda kupiga kura bila hofu yeyote ile.
Aidha, lina wahakikishia limejipanga vizuri sana kumdhibiti yeyote yule kwa mujibu wa sheria atakaye jitokeza ama kwa makusudi au nia ovu kuvunja sheria za nchi ili kuhatarisha amani ya nchi kwa kisingizio chochote kile siku hiyo ya kupiga kura na baada ya kupiga kura.
Atakaye thubutu kuvunja sheria asilaumu kwa hatua zitakazo chukuliwa dhidi yake kwa mujibu wa sheria za nchi, kwani elimu imetolewa vya kutosha na kwa muda mrefu.
Na yy asitulaumu kwa tutakachomfanyia.

Tar. 29 ntarandaranda sn tu mitandaoni ili niwaone hao waandamanaji. Najua maandamano yatatia fora sn na keyboard worriers watakuwa busy sn kushindana kupost vijihabari vyao humu
Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika nafasi ya Urais, Wabunge na
Madiwani.
Jeshi la Polisi kupitia taarifa hii, lingependa kuwahakikishia wananchi na wageni watakao kuwa nchini mwetu kuwa hali ya usalama wa nchi ni shwari sana na hakuna tishio lolote la kiusalama linalo weza kufanya shughuli hiyo ya kupiga kura isifanyike kwa amani.
Pia wananchi mnahakikishiwa amani na usalama wa kutosha siku hiyo ya jumatano, hivyo mjitokeze kwa wingi kama mlivyojiandikisha kwenda kupiga kura bila hofu yeyote ile.
Aidha, lina wahakikishia limejipanga vizuri sana kumdhibiti yeyote yule kwa mujibu wa sheria atakaye jitokeza ama kwa makusudi au nia ovu kuvunja sheria za nchi ili kuhatarisha amani ya nchi kwa kisingizio chochote kile siku hiyo ya kupiga kura na baada ya kupiga kura.
Atakaye thubutu kuvunja sheria asilaumu kwa hatua zitakazo chukuliwa dhidi yake kwa mujibu wa sheria za nchi, kwani elimu imetolewa vya kutosha na kwa muda mrefu.
Hivi ni kwanini polisi hupenda kufuga bata??Tunawapambania nyie misukule ya sisiem ili muje kuishi maisha mazuri..
Au mnapenda kuishi kota chumba na sebule na kufaga mibata?!
Sijui mkuu ingawa nilishi kota utotoni lakini sijuiHivi ni kwanini polisi hupenda kufuga bata??
Hamna kota utaenda ukakosa bata aisee.Sijui mkuu ingawa nilishi kota utotoni lakini sijui
Labda kwa vile mabata ni mazembe na machafu yana tabia za kipolisi!?
Maandamano sio kosa kisheria.
Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika nafasi ya Urais, Wabunge na
Madiwani.
Jeshi la Polisi kupitia taarifa hii, lingependa kuwahakikishia wananchi na wageni watakao kuwa nchini mwetu kuwa hali ya usalama wa nchi ni shwari sana na hakuna tishio lolote la kiusalama linalo weza kufanya shughuli hiyo ya kupiga kura isifanyike kwa amani.
Pia wananchi mnahakikishiwa amani na usalama wa kutosha siku hiyo ya jumatano, hivyo mjitokeze kwa wingi kama mlivyojiandikisha kwenda kupiga kura bila hofu yeyote ile.
Aidha, lina wahakikishia limejipanga vizuri sana kumdhibiti yeyote yule kwa mujibu wa sheria atakaye jitokeza ama kwa makusudi au nia ovu kuvunja sheria za nchi ili kuhatarisha amani ya nchi kwa kisingizio chochote kile siku hiyo ya kupiga kura na baada ya kupiga kura.
Atakaye thubutu kuvunja sheria asilaumu kwa hatua zitakazo chukuliwa dhidi yake kwa mujibu wa sheria za nchi, kwani elimu imetolewa vya kutosha na kwa muda mrefu.
Njoo nikukamieAndaa kilainishi bado dk chache tupite n marinda yako lucha 😹😹
Nakamiwa na wanaume marijali nitakaokutana nao j5 road..!!Njoo nikukamie