Tako lina nguvu sana aiseeNi dokta love... 😀 😀 😀
Kamanda kaharibuuuuuuu
Everyday is Saturday........................ 😎
Sidhani kama hii ni official statement ya Jeshi la Polisi.Hii taarifa niya mtaani.na aliyeiandaa kwenye swala la propaganda bado uwezo wake uko chini sana.na kuiamini uwe una akili pungufu.wanasema wamefanya uchunguzi wa kina na wamejiridhisha mbowe alikua kalewa chakari kwahiyo hapo wanataka tuamini mbowe aliumia mwenyewe.
Sasa hiyo taarifa inaonyesha nikama wameshahitimisha uchunguzi wao alafu tena mwishoni wanasema wanaendelea na uchunguzi nakutoa rai kwa mtu yoyote mwenye taarifa za ilo tukio wakati huo huo wanasema kelele alizopiga mbowe hata majirani hawakuzisikia.Sasa wanaendelea kuchunguza nini.Mimi sio mwerevu ila hii taarifa ni ubabaishaji full.
Yaani. Anamdhalilisha sana tena sana. Mtu anacheat mpaka na kuzaa nje anazaa. Mama Liliane si amuache tu ?Tena hata uenyekiti wa chama ni kwa mgongo wa Liliane Mtei Mbowe. ***** ningekuwa Liliane nilishapiga chini hili lilevi zipu wazi.View attachment 1476485 Angalia mke wa Mbowe alivyomzuri, ila Mbowe amemtesa huyu mama hadi amezeeka haraka
Unafubdisha kazi polisi?Wametumia maneno yale yale aliyoyasema spika "alilewa chakari" hivi Police walikosa maneno ya kuandika hadi waseme kile alichokisema spika?
Mkuu umeuliza maswali ya msingi sana hao madactari waliosemeza wa speeker je walimpima kiwango alcohol concentration? Lakini kama uongozi wa iyo hospital washitakiwe kwa kutoa siri za mgonjwa bila consert ya mgonjwa hata kama alikua IPO hivo maaana inakuaje wahudum wake hawezi kumaintain medical professional ethics zao to sad only in tz you can see a like thisKwahiyo Mbowe kushindwa kutamka maneno sawasawa ndicho kipimo cha ulevi? Na kama alishindwa kwa kuwa alipigwa je?
Pia hicho kipimo walichotumia kumpima na kugundua kuwa alikuwa amelewa chakari ni kipi?
Nikiwaita Jeshi la wapumbavu nitakuwa nimekosea? Jibuni wenyewe kama hamustahili kuitwa "wapumbavu"
Nyie ni watu wazima hivyo ili mheshimiwe ni lazima muje na kitu kinachoeleweka.
Lisu pia alikataa CCTV zisifungwe kwake tukio lilipotokea akawa anadai za jirani yake ndio ziangaliwe sababu kwake zilikuwa hazipo.Hufungi kwako unakataa usifungiwe kwako iwe na serikali au kujifungia mwenyewe?Broo mbona ripoti ya Lissu hatupewi au hao uliowasifia wamesahau
j
Yaani copy & paste.Wametumia maneno yale yale aliyoyasema spika "alilewa chakari" hivi Police walikosa maneno ya kuandika hadi waseme kile alichokisema spika?
Mchepuko,usingizi wa Mbowe. Sasa si angelala tu kwa Joyce ?Dj form six zero.
Yaani. Anamdhalilisha sana tena sana. Mtu anacheat mpaka na kuzaa nje anazaa. Mama Liliane si amuache tu ?Tena hata uenyekiti wa chama ni kwa mgongo wa Liliane Mtei Mbowe. ***** ningekuwa Liliane nilishapiga chini hili lilevi zipu wazi.
Siwafundishi kazi ila hakuna kipimo kinachoonesha ulevi unaoitwa "chakari"Unafubdisha kazi polisi?
Unawapangia kwa ulaghai huo wa PoliCCM?sidhani kama wanachadema watamsamehe.
Kuna watchmen,hawakuona wala kusikia,hao washambuliaji wamepenyea wapi?
Ni kazi ya mbowe sasa kutoa counter allegations,kumbuka safari hii dereva kapatikana na kahojiwa chap chap,na unajua IQ ya madereva ilivyo ndogo,tusubiri mwamba nae atueleze,
Inategemea umeangua vipi wewe tanapaTUWE N AKIBA YA MANENO, USHAHIDI WA KIDAKTARI NI MUHIMU UTHIBITISHE KAMA KWELI UKIANGUKA KWENYE NGAZI HUUMI KISOGO BALI UTAUMIA MGUU WA KULIA HADI KUFANYIWA OPERATION.
TUNASUBIRI.
Yaani. Anamdhalilisha sana tena sana. Mtu anacheat mpaka na kuzaa nje anazaa. Mama Liliane si amuache tu ?Tena hata uenyekiti wa chama ni kwa mgongo wa Liliane Mtei Mbowe. ***** ningekuwa Liliane nilishapiga chini hili lilevi zipu wazi.
Please mtag apa twende instagram tukatoe alama.Joyce Mukya ni kisu balaa, hata ningekuwa mm ndio Mbowe nisingemuacha
Unategemea ripoti gani toka polisi? The expected!
Mbona tulitegemea itakuwa hivyo tu
Mkuu viongozi wetu wanapoanzisha uzushi wenye nia ya kuchafua nchi yetu wawe wanawaandaa wafuasi wao kusikia kile ambacho hawakukitegemeaMnavyomtafuta mtatoa ripoti zaidi ya hiyo? Chuki ya wazi kwake mliyonayo hatuoni ajabu!
Inategemea mkuu,kama nyumba ya ghorofa 10,lazima mguu uvunjike..ila mvunjiko wa kupigwa utaonekana tu na watu wa forensicMimi sipendi ccm ila kwa hili, chadema wanatakiwa kuja na ushahidi wa kutosha. Mimi binafsi ni kitu kimoja tu kinachonifanya nisiamini madai ya CCM. Huwezi angguka kwenye ngazi ukavunjika mguu. Sana sana utateguka.
Hicho ni kiswahili fasaha,labda kama hukupita shule ya msingiSiwafundishi kazi ila hakuna kipimo kinachoonesha ulevi unaoitwa "chakari"
Wachaneni na ripoti ya polisi, ambayo haitampa hako Mbowe, Chadema kama chama kikubwa, watueleze:Mnavyomtafuta mtatoa ripoti zaidi ya hiyo? Chuki ya wazi kwake mliyonayo hatuoni ajabu!