Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Hii taarifa niya mtaani.na aliyeiandaa kwenye swala la propaganda bado uwezo wake uko chini sana.na kuiamini uwe una akili pungufu.wanasema wamefanya uchunguzi wa kina na wamejiridhisha mbowe alikua kalewa chakari kwahiyo hapo wanataka tuamini mbowe aliumia mwenyewe.

Sasa hiyo taarifa inaonyesha nikama wameshahitimisha uchunguzi wao alafu tena mwishoni wanasema wanaendelea na uchunguzi nakutoa rai kwa mtu yoyote mwenye taarifa za ilo tukio wakati huo huo wanasema kelele alizopiga mbowe hata majirani hawakuzisikia.Sasa wanaendelea kuchunguza nini.Mimi sio mwerevu ila hii taarifa ni ubabaishaji full.
Sidhani kama hii ni official statement ya Jeshi la Polisi.

Kama ni kweli ni official statement ya Polisi hii nchi imepotea.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1476485 Angalia mke wa Mbowe alivyomzuri, ila Mbowe amemtesa huyu mama hadi amezeeka haraka
Yaani. Anamdhalilisha sana tena sana. Mtu anacheat mpaka na kuzaa nje anazaa. Mama Liliane si amuache tu ?Tena hata uenyekiti wa chama ni kwa mgongo wa Liliane Mtei Mbowe. ***** ningekuwa Liliane nilishapiga chini hili lilevi zipu wazi.
 
Kwahiyo Mbowe kushindwa kutamka maneno sawasawa ndicho kipimo cha ulevi? Na kama alishindwa kwa kuwa alipigwa je?

Pia hicho kipimo walichotumia kumpima na kugundua kuwa alikuwa amelewa chakari ni kipi?

Nikiwaita Jeshi la wapumbavu nitakuwa nimekosea? Jibuni wenyewe kama hamustahili kuitwa "wapumbavu"

Nyie ni watu wazima hivyo ili mheshimiwe ni lazima muje na kitu kinachoeleweka.
Mkuu umeuliza maswali ya msingi sana hao madactari waliosemeza wa speeker je walimpima kiwango alcohol concentration? Lakini kama uongozi wa iyo hospital washitakiwe kwa kutoa siri za mgonjwa bila consert ya mgonjwa hata kama alikua IPO hivo maaana inakuaje wahudum wake hawezi kumaintain medical professional ethics zao to sad only in tz you can see a like this
 
Broo mbona ripoti ya Lissu hatupewi au hao uliowasifia wamesahau

j
Lisu pia alikataa CCTV zisifungwe kwake tukio lilipotokea akawa anadai za jirani yake ndio ziangaliwe sababu kwake zilikuwa hazipo.Hufungi kwako unakataa usifungiwe kwako iwe na serikali au kujifungia mwenyewe?

Tukio likitokea kwako unakomalia za jirani!!! Kwa nini usifunge zako hata binafsi ? Mbona madishi ya DSTV au Azam mtu unajifungia mwenyewe hutegemei za jirani?
 
Huyu mwanamke ameteswa sana na Mbowe sema ndio hivyo ni mvumiluvu
Yaani. Anamdhalilisha sana tena sana. Mtu anacheat mpaka na kuzaa nje anazaa. Mama Liliane si amuache tu ?Tena hata uenyekiti wa chama ni kwa mgongo wa Liliane Mtei Mbowe. ***** ningekuwa Liliane nilishapiga chini hili lilevi zipu wazi.
 
Kuna watchmen,hawakuona wala kusikia,hao washambuliaji wamepenyea wapi?
Ni kazi ya mbowe sasa kutoa counter allegations,kumbuka safari hii dereva kapatikana na kahojiwa chap chap,na unajua IQ ya madereva ilivyo ndogo,tusubiri mwamba nae atueleze,

Kaka usikwepe nilichosema, kutokana na kinachoendelea nina uhakika kabisa maelezo ya awali ya Mbowe hayakunyooka, ripoti hiyo ya polisi ni utata mtupu.

Lakini CCTV footage haziwezi kumbeba yoyote. Hizo zikipatikana kila mtu atajenga ukweli wake kwenye hicho kinachoonekana kwenye footage. Mbona hilo ni rahisi sana.
 
TUWE N AKIBA YA MANENO, USHAHIDI WA KIDAKTARI NI MUHIMU UTHIBITISHE KAMA KWELI UKIANGUKA KWENYE NGAZI HUUMI KISOGO BALI UTAUMIA MGUU WA KULIA HADI KUFANYIWA OPERATION.

TUNASUBIRI.
Inategemea umeangua vipi wewe tanapa
Inawezekana kwa ulevi alitaka kukanyaga ngazi akaikosa,mguu ukajikunja goti likagota kwenye ngazi,mfupa ukarudi nyuma akapata fracture,sio lazima aanguke chali
 
Chairman wa milele
FB_IMG_1591880696907.jpeg
 
Mzee mtei hana kijana anayependa siasa ndio maana amekosa mtu wa kumrithisha chama lasivyo Mbowe angeshapokonywa chama siku nyingi
Yaani. Anamdhalilisha sana tena sana. Mtu anacheat mpaka na kuzaa nje anazaa. Mama Liliane si amuache tu ?Tena hata uenyekiti wa chama ni kwa mgongo wa Liliane Mtei Mbowe. ***** ningekuwa Liliane nilishapiga chini hili lilevi zipu wazi.
 
Unategemea ripoti gani toka polisi? The expected!
Mbona tulitegemea itakuwa hivyo tu
Mnavyomtafuta mtatoa ripoti zaidi ya hiyo? Chuki ya wazi kwake mliyonayo hatuoni ajabu!
Mkuu viongozi wetu wanapoanzisha uzushi wenye nia ya kuchafua nchi yetu wawe wanawaandaa wafuasi wao kusikia kile ambacho hawakukitegemea

Kama hamuamini uchunguzi wa polisi mlitaka nani afanye huu uchunguzi,juzi tu kamanda mloto alipotoa maoni yake juu ya maigizo ya DJ mbowe mlishangilia

Leo hii lipoti imekuja tofauti na matumaini yenu mnaanza kulalama,poleni sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mimi sipendi ccm ila kwa hili, chadema wanatakiwa kuja na ushahidi wa kutosha. Mimi binafsi ni kitu kimoja tu kinachonifanya nisiamini madai ya CCM. Huwezi angguka kwenye ngazi ukavunjika mguu. Sana sana utateguka.
Inategemea mkuu,kama nyumba ya ghorofa 10,lazima mguu uvunjike..ila mvunjiko wa kupigwa utaonekana tu na watu wa forensic
 
Siwafundishi kazi ila hakuna kipimo kinachoonesha ulevi unaoitwa "chakari"
Hicho ni kiswahili fasaha,labda kama hukupita shule ya msingi
Amelewa chakari=Amelewa kiasi cha kutojitambua
 
Mnavyomtafuta mtatoa ripoti zaidi ya hiyo? Chuki ya wazi kwake mliyonayo hatuoni ajabu!
Wachaneni na ripoti ya polisi, ambayo haitampa hako Mbowe, Chadema kama chama kikubwa, watueleze:
1. Walinzi wake walikuwa wapi. Kiongozi No.1, wa chama tena anayetafutwa na utawala, iki wamkomoe na pia mna mashaka wanaweza kumdhuru, inakuwaje anatembea bila ulinzi. Na hali mnajua yaliyompata Lissu

2. Nyumba ina cctv camera za chama, mbona hamuziweki picha au clip wazi, mkawa aibisha hawa polisi. Au kuna kitu cha ukweli mnacho kificha.

3. Hivi kweli ingekuwa maelezo ya mbowe ama yale maelezo ya kwanza ya Esther na Msigwa yangekuwa na ukweli, akina Halima, Sugu, Lema wangenyama kweli, si kila leo tungewasikia.
4. Mwanae wa kiume aliyekuwa na uwezo wa kumsaidia baba yake kwa kila namna, alikuweko na alikuja kujulishwa hali ya baba yake siku ya pili asubuhi.

Wanachadema angalieni ukweli, hata kama Mbowe ni kipenzi chenu, hicho kisemufanye mkaadhirika kwa kubebeshwa uongo.
 
Back
Top Bottom