Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Yaani. Anamdhalilisha sana tena sana. Mtu anacheat mpaka na kuzaa nje anazaa. Mama Liliane si amuache tu ?Tena hata uenyekiti wa chama ni kwa mgongo wa Liliane Mtei Mbowe. ***** ningekuwa Liliane nilishapiga chini hili lilevi zipu wazi.

Duuu leo kazi ipo.
 

Bora ukae kimya tu, wenye akili timamu tunajua kila kinachoendelea. Huu upotoshaji humpati yoyote boss, labda wale vichwa nazi.
 
Unadhani walishindwa kumuuguza kimya kimya bila mtu kujua kama kuna issues kama hizo? ? Nani angelijua hayo ya ulevi?
Ila wewe ni tofauti na wenzako Lumumba/Mataga, umejaribu kujenga hoja.
 
Ukiamua kubumba story jikite haswa, tulia na ikibidi tumia watu wenye akili mno...simulation yoyote ile ya tukio lazima iwe na uwezo wa kuacha maswali wachache mno na iwe compact!!

Hii ipo wazi mno!! Hata aliyefweli la saba haimsumbui!!
 
Kaimu balozi wa Marekani anasemaje? Aibuu.
Kwani hajui uongo na unafiki wa jeshi LA Polisi LA TZ?
Anafahamu fika kuwa baada ya mipasho ile ya bungeni ambayo ilipangwa mahsusi nini kitafuata.
Wenye akili hawapotezi muda na wajinga.
 
kwakweli Mbowe akipona majeraha ya kuanguka ashitakiwe kwa kuuhadaa umma ma jeshi la polisi. iweje mtu katoka kwenye starehe zake halafu aanze kuzusha.?!

jeshi la polisi na umma haupaswi kusikiliza na kuamini maneno ya mlevi chakari...kwani mlevi chakari anaweza kutamka neno lolote lile bila yeye kujitambua...hivyo maneno aliyo yatoa mbowe ya kuvamiwa huku akiwa amelewa chakarii si ya kuaminiwa kamwe
 
Duh...!.
P
Apana hao wamekosea mashahidi wanao wengi tuu, chadema kama kawaida yao, mashahidi wao wanatumia satelight ya chama na wanaona kila kitu hapa TZ, kwenye hili hata Lissu huko aliko aliona tokea mpango unapangwa , waliokuwa wanapanga na walioyatenda.

Hii ni sawa sawa na ile video ya bomu la Arusha, leo miaka 6 bado tuna ngojea Mbowe aiweke wazi. Sijui kaipoteza, ama aliwauzia polisi.
 
Matusi hayo, sitegemei uandike hivyo. Mtu akimsema baba yako kuwa ni DJ utafurahi? Jaribu kukua kiakili, jibu hoja bila udhalilishaji!
Samahani mkuu Mimi si muumini wa matusi,lakini mtu akiitwa DJ ni tusi,si hiyo ilikuwa kazi ya mbowe pale Billcannas kabla ya kugeukia siasa?

Sasa hivi Mimi ni mwalimu,inamaana nikijiunga na siasa na kuwa mbunge watu wakiniita mwalimu ni tusi?

Udj na ualimu havina tofauti maana zote ni kazi za watu,na kuna madj wanapiga mpunga mrefu kuliko hata taaluma zingine.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hahaha
Unatetea nini
Umalaya mbayaView attachment 1476486

Simtetei yoyote au chochote, nataka kujua ukweli na njia ya kuupata ukweli iko wazi kwenye hizo cctv footage. Hivi unadhani ukiweka picha ya mwanamke ndio unaweza kunitoa kwenye hoja ya msingi? Mbona mimi sio mwepesi wa hivyo boss?
 
Uchunguzi ulishafanywa na spika,kwa hiyo taarifa imebandikwa kama ilivyo.
 
He was having a music entertainment investment! He was not himself engaged in the dancing of music!
UdJ ni derogatory sort of undertaking!
 
Hao ndio polisi Tanzania!wazee wa kupindua,ukiona mtu anaandika soft language ujue Ni uongo.Utasikia walikuwa wanajibizana kwa risasi tumewaua wote,hutaona ht gar lao limetoborewa mara kacheka picha mkuu,mwishowe anatumia namba ya simu sio yake.
 
Tuliwaonya sana hamsikii! Mnatumika na kina Mbowe!
Ona sasa aibu hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…