Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Yaani. Anamdhalilisha sana tena sana. Mtu anacheat mpaka na kuzaa nje anazaa. Mama Liliane si amuache tu ?Tena hata uenyekiti wa chama ni kwa mgongo wa Liliane Mtei Mbowe. ***** ningekuwa Liliane nilishapiga chini hili lilevi zipu wazi.

Duuu leo kazi ipo.
 
Lisu pia alikataa CCTV zisifungwe kwake tukio lilipotokea akawa anadai za jirani yake ndio ziangaliwe sababu kwake zilikuwa hazipo.Hufungi kwako unakataa usifungiwe kwako iwe na serikali au kujifungia mwenyewe ?tukio likitokea kwako unakomalia za jirani!!! Kwa nini usifunge zako hata binafsi ? Mbona madishi ya DSTV au Azam mtu unajifungia mwenyewe hutegemei za jirani?

Bora ukae kimya tu, wenye akili timamu tunajua kila kinachoendelea. Huu upotoshaji humpati yoyote boss, labda wale vichwa nazi.
 
Wachaneni na ripoti ya polisi, ambayo haitampa hako Mbowe, Chadema kama chama kikubwa, watueleze:
1. Walinzi wake walikuwa wapi. Kiongozi No.1, wa chama tena anayetafutwa na utawala, iki wamkomoe na pia mna mashaka wanaweza kumdhuru, inakuwaje anatembea bila ulinzi. Na hali mnajua yaliyompata Lissu

2. Nyumba ina cctv camera za chama, mbona hamuziweki picha au clip wazi, mkawa aibisha hawa polisi. Au kuna kitu cha ukweli mnacho kificha...
Unadhani walishindwa kumuuguza kimya kimya bila mtu kujua kama kuna issues kama hizo? ? Nani angelijua hayo ya ulevi?
Ila wewe ni tofauti na wenzako Lumumba/Mataga, umejaribu kujenga hoja.
 
Ukiamua kubumba story jikite haswa, tulia na ikibidi tumia watu wenye akili mno...simulation yoyote ile ya tukio lazima iwe na uwezo wa kuacha maswali wachache mno na iwe compact!!

Hii ipo wazi mno!! Hata aliyefweli la saba haimsumbui!!
 
Kaimu balozi wa Marekani anasemaje? Aibuu.
Kwani hajui uongo na unafiki wa jeshi LA Polisi LA TZ?
Anafahamu fika kuwa baada ya mipasho ile ya bungeni ambayo ilipangwa mahsusi nini kitafuata.
Wenye akili hawapotezi muda na wajinga.
 
kwakweli Mbowe akipona majeraha ya kuanguka ashitakiwe kwa kuuhadaa umma ma jeshi la polisi. iweje mtu katoka kwenye starehe zake halafu aanze kuzusha.?!

jeshi la polisi na umma haupaswi kusikiliza na kuamini maneno ya mlevi chakari...kwani mlevi chakari anaweza kutamka neno lolote lile bila yeye kujitambua...hivyo maneno aliyo yatoa mbowe ya kuvamiwa huku akiwa amelewa chakarii si ya kuaminiwa kamwe
 
Duh...!.
P
Apana hao wamekosea mashahidi wanao wengi tuu, chadema kama kawaida yao, mashahidi wao wanatumia satelight ya chama na wanaona kila kitu hapa TZ, kwenye hili hata Lissu huko aliko aliona tokea mpango unapangwa , waliokuwa wanapanga na walioyatenda.

Hii ni sawa sawa na ile video ya bomu la Arusha, leo miaka 6 bado tuna ngojea Mbowe aiweke wazi. Sijui kaipoteza, ama aliwauzia polisi.
 
Matusi hayo, sitegemei uandike hivyo. Mtu akimsema baba yako kuwa ni DJ utafurahi? Jaribu kukua kiakili, jibu hoja bila udhalilishaji!
Samahani mkuu Mimi si muumini wa matusi,lakini mtu akiitwa DJ ni tusi,si hiyo ilikuwa kazi ya mbowe pale Billcannas kabla ya kugeukia siasa?

Sasa hivi Mimi ni mwalimu,inamaana nikijiunga na siasa na kuwa mbunge watu wakiniita mwalimu ni tusi?

Udj na ualimu havina tofauti maana zote ni kazi za watu,na kuna madj wanapiga mpunga mrefu kuliko hata taaluma zingine.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hahaha
Unatetea nini
Umalaya mbayaView attachment 1476486

Simtetei yoyote au chochote, nataka kujua ukweli na njia ya kuupata ukweli iko wazi kwenye hizo cctv footage. Hivi unadhani ukiweka picha ya mwanamke ndio unaweza kunitoa kwenye hoja ya msingi? Mbona mimi sio mwepesi wa hivyo boss?
 
Mkuu viongozi wetu wanapoanzisha uzushi wenye nia ya kuchafua nchi yetu wawe wanawaandaa wafuasi wao kusikia kile ambacho hawakukitegemea

Kama hamuamini uchunguzi wa polisi mlitaka nani afanye huu uchunguzi,juzi tu kamanda mloto alipotoa maoni yake juu ya maigizo ya DJ mbowe mlishangilia

Leo hii lipoti imekuja tofauti na matumaini yenu mnaanza kulalama,poleni sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Uchunguzi ulishafanywa na spika,kwa hiyo taarifa imebandikwa kama ilivyo.
 
Samahani mkuu Mimi si muumini wa matusi,lakini mtu akiitwa DJ ni tusi,si hiyo ilikuwa kazi ya mbowe pale Billcannas kabla ya kugeukia siasa?

Sasa hivi Mimi ni mwalimu,inamaana nikijiunga na siasa na kuwa mbunge watu wakiniita mwalimu ni tusi?

Udj na ualimu havina tofauti maana zote ni kazi za watu,na kuna madj wanapiga mpunga mrefu kuliko hata taaluma zingine.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
He was having a music entertainment investment! He was not himself engaged in the dancing of music!
UdJ ni derogatory sort of undertaking!
 
Hao ndio polisi Tanzania!wazee wa kupindua,ukiona mtu anaandika soft language ujue Ni uongo.Utasikia walikuwa wanajibizana kwa risasi tumewaua wote,hutaona ht gar lao limetoborewa mara kacheka picha mkuu,mwishowe anatumia namba ya simu sio yake.
 
1D456C22-4692-4960-9666-8A2035159654.jpeg
896256D7-B415-41E3-89A3-B97B165882B4.jpeg
 
Chadema kwa maduddu kama haya mnaingia uchaguzi kufanya nini? mtu kama Moroto, kwanini asikimbie na sanduku la kura, kwanini asizuie mawakala wenu kutokanyaga kwenye kituo cha polisi, kwanini asiwatishe wanaoonekana wataipigia Chadema and the like! Mwanahabari Huru Erythrocyte
Tuliwaonya sana hamsikii! Mnatumika na kina Mbowe!
Ona sasa aibu hii?
 
Back
Top Bottom