Ya mtaa wa ufipaMbowe anatia aibu sana,infact hata familia yake.Sijui mkewe anajisikiaje maskini. Umelewa chakari,tena unatoka nyumba ndogo,uovu mtupu.Halafu eti unataka uende Ikulu,ipi?
Haya yanayosemwa na polisi ndiyo yaliyosemwa bungeni tena kwa kejeri sana.Haya Sasa mambo wazi kabisa ni aibu hii kwa chadema kusema uongo sijui wataficha wapi sura zao chadema [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Mwenyekiti wenu alijifanya mjanja kwenda kahosipitali ambako aliamini hakawezi kupima hata pombe. Unaacha kumpa taarifa mwanao tena wa kiume unaondoka kwenda kwa kimada mnapanga uongo wenu ndipo mnaenda hosipitali ya uchochoroni.Kwahiyo Mbowe kushindwa kutamka maneno sawasawa ndicho kipimo cha ulevi? Na kama alishindwa kwa kuwa alipigwa je?
Pia hicho kipimo walichotumia kumpima na kugundua kuwa alikuwa amelewa chakari ni kipi?
Nikiwaita Jeshi la wapumbavu nitakuwa nimekosea? Jibuni wenyewe kama hamustahili kuitwa "wapumbavu"
Nyie ni watu wazima hivyo ili mheshimiwe ni lazima muje na kitu kinachoeleweka.
Kufich kuwa aliumia kiajali, na kuzingizia kuwa kapigwa na wasiojulikana. Hao wasiojulikan jee walivaa face mask, hawakuziona sura zao. As a leader he should always thrive in honesty. AsanteYou are not objective, ushindwe kuficha? Kuanguka ni kosa? Kulea ni kosa? Mbona unanipeleka kuanza kukufikiria kinyume na nilivyokuwa nakufikiria? Kosa gani alifanya? Mtu mwenye pesa ashindwe kuficha ulevi? ashindwe kuficha kuanguka/kuvunjika?
Muda ni hakimuDuh...!.
P
Pia amesema uchunguzi wa Jeshi la Polisi nchini umethibitisha kuwa siku ya Juni 8 mwaka huu Mbowe alitembelea sehemu kadhaa za starehe zinazouza vileo ikiwepo ya Royal Village na kupata kinywaji.
"Hata hivyo alipofika hospitali alioneana akiwa katika hali ya ulevi chakari kiasi cha kushindwa kutamka maneno sawa sawa.Tunaendelea na uchunguzi kutafuta ukweli wa tukio hili, hivyo tunaomba wananchi wenye taarifa zinazoweza kusaidia upelelezi huo wazilete kwetu. Tutaendelea kutoa taarifa kwenu kadri ushahidi utakavyopatikana,"amesema Misime kupitia taarifa ya jeshi hilo kwa vyombo vya habari.
Ni lipi la uongo hapo?Ya mtaa wa ufipa
Basi endelea kutoamini hivyohivyo.Narudia tena sio Mbowe, sio polisi, sio mtoto wake hakuna tunayeamini ukweli wake. CCTV footage zikitolewa kila mtu ataweka ukweli wake kutokea hapo. Hatetewi yoyote hapa tunataka ukweli usioacha shaka. Hilo ni rahisi kuliko hizi porojo zote toka mwanzo wa tukio husika.
Ulitegemea ripoti idanganye Kama chadema kilivyodanganya?Haya yanayosemwa na polisi ndiyo yaliyosemwa bungeni tena kwa kejeri sana.
Mlitazamia polisi watasema tofauti na ndugai na wabunge wake wa ccm?
Mwambie mbowe aacue ulevi na maigizo oktoba inakaribiaHawana akili hawa watu. Kwa nini wanadhani angeshindwa kusema kateleza na kuumia?
Hii inaonyesha hata huo mpango wa kumshambulia ulilenga kumuumiza mguu tuu ili syndicate ya kuwa kalewa na katoka wapi iliyopangwa toka awali ifanikiwe.
Iweje kesho yake bungeni wasimame kuanzia Spika na wabunge kadhaa wasimame na kusema kitu kimoja kama vile walikuwa naye?
Upumbaf mtupu
CCTV footage pia ziko kwenye huo ushahidi? Hapo tu ndio penye kila kitu.
Walevi ndio tabia zao,hatushangai." I said it" kwamba Mbowe asingekimbilia kupata huduma hospitali ya binafsi pasipo kupitia polisi na/au kuutangazia umma kuwa ameshambuliwa.
Je, Bulaya, Msigwa na Mnyika, walioutangazia umma kuwa BOSS wao kashambuliwa kwa sababu ya kisiasa, wataweza tena kusimama mbele ya umma kuomba ridhaa yao, wakati inadhihirika wazi kuwa ni waongo na wanafiki?
Inawezekana kabisa kuwa hata majeraha hayo ni ya bandia kwa matumizi mabaya ya fedha za chama kutibiwa hospitali binafsi na kukodisha ndege.
Wamenuna hao 🤣Ripoti ya polisi imewafunga midomo chadema wazee wa matamko. Si Mnyika wala Makene wote kimyaa.
Polisi wameamua Kuja na taarfa ambazo mtu kama mimi mchunga ng'ombe naweza kuztoa toka malishoni Bila comnvincing evidence?watu waliosomeshwa kwa kodi za wanyonge wameamua Kuja na majibu mepesi kiasi hiki?
Unaweza tumia facts za kitoto kujustify ukweli wa tukio lile?...
Niliapa mwanangu asome sana...ila kama atakuja niambie ni msomi wa kiasi cha kuingia kwenye kazi fulani fulani ikiwemo hii basi...ajue si mtoto wangu asilani!! Hakuna kitu kinauma nimetumia gharama zangu kupika ubongo wa mtoto halafu aje ageuke hivi stakubali!!!
Nilitegemea wawambie wananchi kwa kutumia footage camera tukio Zima lilivokua kama movement za watu zilikuepo au lah picha zongeonyesha..kweli MTAA mzima cctv Kamera hazikuepo?je nyumba haikua na Kamera ili kujustify tukio lile? Msomi unaweza Sema jirani ndy uthibitisho je kama jirani ni adui yako?
Sjui taifa linaelekea wapi..kudharilishana kufedheheshana imegeuka desturi katka taifa la Mwlm Nyerere!!! ?
Camera itatoka wapi wakati alikuwa kwa kimada.Vipi hakuna camera nyumbani kwa kiongozi mkubwa kama mbowe tupate video kidogo
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hahqhahah.. Hizo zako ninzilipendwaUnasema kweli kabisa. Mchezo mchafu unachezwa kichafu vilevile. Kama wanataka kuhusisha Mbowe kuzaa na Mkuya na uongo wao, waulizwe mapenzi ya hiari ni dhambi kama kumbaka shemeji yaani Dada wa mama J hadi kumzalisha?
Tutaonana wabaya humu!