Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Kama watu walipotezwa na majibu rahc yakatolewa cwez shangazwa na hili.
 
Kwa kweli ripoti inaonyesha mapungufu makubwa. Kama ndio repoti ya uchunguzi inaandikwa hivi basi tuna safari ndefu aisee

Ripoti inaweza kuwa na makosa ya kiufundi, lakini makosa kwa taarifa iliyotolewa na mbowe ni makubwa zaidi.

Umeshambuliwa kwenye ngazi za kuingia kwako, kijana wako yuko ndani unashindwa kumjulisha lakini unapata nguvu kwenda kumjulisha kimada!
 
Jeshi la Polisi litoe hadharani foot prints za CCTV Camera zilizopo eneo lote la Nyumba za Serikali ambapo Mh. Mbowe alivamiwa zioneshe hayo wanataka kuaminisha Umma. Ninyi ni Jeshi sio Idara ya Propaganda ya CCM.

Polisi sikilizeni, Mbowe alishakuwa ni "taasisi" na fikra zake za "Changes" zipo kwa mamilioni ya Watanzania, kamwe hamwezi kummaliza Mbowe, ambaye yupo kila Kitongoji, Kijiji, Mtaa, Kata, Taraafa, Wilaya na Mkoa. Mbowe yupo kwenye mioya na vichwa vya Watanzania!

Mr mkiki.
 
Hapa tu ndio penye kila kitu. Sasa nazidi kupata shaka na huu ushahidi wa kuzunguka wakati kuna CCTV Cameras, na Bado hazitumiki kwenye ushahidi wa tukio hili!
Umesahau pia kuwa kuna vipimo vya hospitali km X-Ray za kuthibitisha aina na kiwango cha majeraha alityopata Mbowe, Kamanda Mkuu, au navyo vitafichwa?
 
Ila mbaya sana kunyang'anyana na kina Ally Kiba, Hasheem Thabit nk. kwa ubabe wa kutumia ofisi na kugawa cheo.
Ni tabia za wanume wote duniani, , na hapa hatujamlaumu Mbowe kuwa na Nkya. Tunalaumu kutunga uongo dunia nzima ikishuhudia
 
Mbowe ni kijana wa mjini tu amepata platform ya kisiasa Kwasababu anawaongoza watu wasiokuwa na vision
Si nyumba ndogo zitaonekana?Huyu jamaa bogus sana.Lakini mtu aliyethubutu kuwa na the likes of Bibilicanas,tulitegemea aweje?This was surely expected.Wajinga ni wale wanaotegemea kwamba he would be different.
 
Mwenyekiti wenu alijifanya mjanja kwenda kahosipitali ambako aliamini hakawezi kupima hata pombe. Unaacha kumpa taarifa mwanao tena wa kiume unaondoka kwenda kwa kimada mnapanga uongo wenu ndipo mnaenda hosipitali ya uchochoroni.

Kina kitu hapa hata kama makamanda hamna imani na jeshi la polisi.
Makamanda tumegomea huo upuuzi sasa!
 
Risasi 16, CCTV camera kuondolewa, kutomghalamia matibabu, kumunyima mishahara na posho zake sitahili, kufukuzwa ubunge, kupotea kwa watu, wabunge wa CCM kutoa taarifa ya ulevi kabla ya Polisi. Haya in makosa yasiyoweza kuhalalisha watu kuiamini taarifa ya polisi na kuimaliza Chadema kwa ulevi wa Mbowe. CCM mnakosea wapi???. Kama uchaguzi ukiendeshwa kwa haki Tundu na Chadema majimboni watasumbua tu. Bado watu wataamini taarifa ya awali Mbowe avamiwa.
 
Amepigiwa ndani kwake inabidi yeye ndio azitoe na sio jeshi la polisi mana hawana
 
Back
Top Bottom