Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Polisi wametimiza wajibu wao na kweli wamejitahidi kushughulikia suala hili katika wakati muafaka. Kwa vile inaelekea wameishajua kilichotokea, wanaendelea na uchunguzi wa nini?

Amandla...
 
Mzee wa Faru John kaumbuka
 
Hapa tu ndio penye kila kitu. Sasa nazidi kupata shaka na huu ushahidi wa kuzunguka wakati kuna CCTV Cameras, na Bado hazitumiki kwenye ushahidi wa tukio hili!
Si familia ya kamanda ilikuwa na access kabla ya hata kututangazia wazitoe cctv walidhalilishe jeshi la polisi.
 
Kuna watu wawili hapo wametajwa ambao ni
1. Joyce Nkya
2. Joyce Mukya.

Hili document takataka lililotoka Jeshi la hovyo kabisa la Polisi Tanzania limekosa uhalali.

Jeshi la kipumbavu!
Siasa ni mbaya saana...
 
Huu mji mzito!
Lakini kama alianguka kwa ulevi akavunjika mguu si majirani wangemskia pia.
Hawa mashaidi walikua wapi kwani?[emoji51][emoji51]

Nawaza tu.
Kuna mwanamama ni jirani yeke Mbowe na ni mbunge, anasema hakusikia lolote hadi asubuhi na alishangaa kusikia Mbowe kashmabuliwa na anasema siku hiyo alilala saa saba
 
Mi kinachoniuma mkuu, kwanini katibu mkuu atumie taasisi yetu kuficha personal weakneses...yani mtu alewe afu dah, yani nakosa chakuandika bora nkae kimya
 
Leo ndio nimeamini nia ya jiwe ya kufuta upinzani na kutawala milele...asubiri muziki wa wananchi mtaani.... wamekosea kidogo kuharakisha kupika uhongo wao na kuupika mapema...ahaaa hatudanganyiki kamwe...
 
Basi endelea kutoamini hivyohivyo.

Yani hata mwenye tukio humwamini basi kaa hivyohivyo

Boss nina akili zangu timamu, ninapotaka footage za CCTV sisemi hilo kwa kubahatisha. Iwe Mbowe, mtoto wake, polisi au yoyote wanaweza kupotosha kwa maslahi yao binafsi. Ndio maana unaona toka juzi wale tunaotaka cctv cameras footage tunakwepwa.
 
Mkuu Mihimili yote mitatu kamwe haitakuwa ikitenda au kutekeleza majukumu yake kwa ukweli na uazi chini ya Kiongozi huyu tuliyenae. Sijui kwanini Mungu anachelewa kuyajibu maombi yetu?? Kwakweli ni huzuni kama siyo hasira.
 
Polisi wametimiza wajibu wao na kweli wamejitahidi kushughulikia suala hili katika wakati muafaka. Kwa vile inaelekea wameishajua kilichotokea, wanaendelea na uchunguzi wa nini?

Amandla...
Chadema jana walijaribu kuja na ka statement eti hawana imani na uchuzi wa polisi, nadhani baada ya kugundua mwamba amewaingiza chaka
 
Huu mji mzito!
Lakini kama alianguka kwa ulevi akavunjika mguu si majirani wangemskia pia.
Hawa mashaidi walikua wapi kwani?[emoji51][emoji51]

Nawaza tu.
Kutokana na taarifa ya Polisi inaonesha kuwa, ama:-
√ Mbowe, hakuanguka nyumbani kwake ila kwa Joyce Nkya, hawara yake wa muda mrefu. Angeanguka nyumbani kwake James, mwanae angechukua hatua stahiki, ikiwa ni pamoja na kuamsha majirani; au
√ Alivamiwa na wahuni waliotumwa na wabaya wake Joyce Nkya, wakitoka kwenye ulevi. Yawezekana ndiyo sababu hakuwa na walinzi.
 
Mbowe ameiaibisha sana Chadema!
 
Kuna mwanamama ni jirani yeke Mbowe na ni mbunge, anasema hakusikia lolote hadi asubuhi na alishangaa kusikia Mbowe kashmabuliwa na anasema siku hiyo alilala saa saba
Ni wa chama gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…