Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi Jijini Dodoma kupitia kwa Kamanda wa Polisi MUROTO limeeleza hakuna shahidi yeyote aliyesikia kelele wala kuona MBOWE akishambuliwa kama alivyodai. Mbowe alitokea kwa mzazi mwenzake JOYCE MUKYA ambae ni mbunge wa viti maalum Chadema.

Baada ya kuteguka hakumjulisha Mwanae aliyekuwa ndani anayeishi. Kabla ya kwenda Hospitali alipita kwa Mzazi mwenzake JOYCE na Hospitalini ilibainika alikuwa amelewa chakari kiasi cha kushindwa kutamka baadhi ya maneno. Siku anayodaiwa kushambuliwa alionekana katika maeneo ya starehe..
Kwa maelezo ya Lijua likali na Msukumba Joyce alikimbia
 
Mbowe ameangukia ndani kwake Cctv za serikali haziwezi fungwa ndani kwa mtu kama zipo ni za Mbowe mwenyewe AZITOE TUKATE MZIZI WA FITINA

Nimekuambia ni bora ukae kimya, huenda wewe utakuwa ni mzee, au kijana lakini mshamba ndio maana tunaposema CCTV hata hujui tunaoongea nini.
 
Hii ndiyo Tanzania
Baada ya uchunguzi atashitakiwa kwa kulidanganya jeshi la polisi na kutoa taarifa za uongo
How do they prove ni uongo?

Inaonekana huo mtaa wanaoishi una population ndogo sana,,lisu alipigwa risasi mchana peupe,hakuna mtu alishuhudia,iwe hausegal,hausboi,au majirani wa eneo hilo.

Iwe saa saba usiku ndo utarajie eti watu wataona kweli?
 
Mambo mawili yasio tegemeana,kulewa chakari na kushambuliwa,
Kulewa chakari haimanishi kwamba hakushambuliwa,
Wala Mbowe sio wa kwanza kulewa chakali,Charles Kitwanga,alilewa chakali akaingia bungeni,
Sisi hatutaki kujua Mbowe,alikuwa kalewa au la,tuambieni,
Alishambuliwa,au alijashambulia,
Maana kwa mujibu wa intelijensia ya polisi,Mtu anaweza kujiteka(abdul nondo),na risasi inaweza kwenda juu,ikarudi chini,ikakata kona na kumpiga mtu(rejea kifo cha akwilina)

Kulewa kila mtu analewa hata Mimi na lewa.kuumia ulevini Ni kawaida tu hata Pierre liquid alilewa na kuvunjika mguu Wala hakusema uongo kuwa kapigwa na mtu akamvunja mguu. Mbowe ni mlevi wa pombe Kali, Hilo liko wazi Wala sio siri.tatizo Nini Sasa? Kusema uongo,kuwa kapigwa wakati mnajua kuwa sio kweli!! Kalewa Kama anavyolewa kila siku bahati mbaya kateleza kwenye ngazi kaumia na ripoti ya polisi I hapo juu
 
Namshauri mke wa ndoa wa mh. F.A. MBOWE mbunge wa hai aombe taraka.
1.kadharirishwa
2.kamvunjia heshima kwa watumishi wenzake.

Haiwezekani usiku wa saa7 mmeo anapata shida usimwambie mkeo.

Haiwezekani mmeo apate shida hata mwanao asijulishwe mda huo nabadara yake kimanda ndo ashirikishwe.

Nimeamini vimada wananguvu kwa rimbukeni wa mapenzi.

Mama omba taraka.
Makamanda hatuchangi safari hii.
 
View attachment 1476442
Chadema imejengwa katika misingi ya ghilba na uongo,ndio maana kuna kiongozi wake amekiri hadhari kusema uongo ili tu kutimiza malengo ya kisiasa
Kwa upuuzi alioufanya mbowe,kama chadema kingekua ni chama makini,muda huu ameshafukuzwa
Ni aibu kwa chama,aibu kwa taifa na dhambi kwa Mungu kwa kiongozi kama mbowe kuzini,tena anatafuna mke wa mtu
Aibu kubwa sana kwa chadema
 
Kwny Sura Binti Mtei yupo njema lakin ukija mugongo mugongo Mh.Mbunge hana mshindan
Nakuwmbia mke wa ndoa wa Mbowe alivyo mzuri ukiiweka picha na ya Joyce Mukya sura ya Mukya takataka Hadi mtu unajiuliza hivi wanaume wanataka Nini hasa kwa wanawake?
 
Wengi wao mnaokomenti humu naona hamuijui michezo ya kisiasa!.. na hili litawapa tabu sana!..

Ombi langu kwa chadema ni kuwa nao waonyeshe ni namna gani wanacheza na hili ili wajisafishe sio kukaa kulialia tu.. Kama hawajui michezo ya siasa Basi wajue kila siku watakuwa wanapigwa tu..

Dunia ya leo sio tu ya kukaa na kuanza kulialia hasa ktk ulingo wa siasa unamambo mengi.. ukiwa na uwezo wa kufanya mashambulizi ni lazima ujue na kujikinga..
 
Mapimbi ya kijani kibichi yanachekesha kwelikweli,polisi ni chombo tu source ya tukio lolote Ni mhusika polisi huwa wanapewa taarifa tu.
 
Chadema kwa maduddu kama haya mnaingia uchaguzi kufanya nini? mtu kama Moroto, kwanini asikimbie na sanduku la kura, kwanini asizuie mawakala wenu kutokanyaga kwenye kituo cha polisi, kwanini asiwatishe wanaoonekana wataipigia Chadema and the like! Mwanahabari Huru Erythrocyte
 
Back
Top Bottom