Huo sasa si uungwana.
We poke pole yako Lumumba ntawapelekea yao
Mambosasa na yeye aje na taatifa za Uchunguzi za mzee Mangula kulishwa Sumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo ya Lijua likali na Msukumba Joyce alikimbiaJeshi la Polisi Jijini Dodoma kupitia kwa Kamanda wa Polisi MUROTO limeeleza hakuna shahidi yeyote aliyesikia kelele wala kuona MBOWE akishambuliwa kama alivyodai. Mbowe alitokea kwa mzazi mwenzake JOYCE MUKYA ambae ni mbunge wa viti maalum Chadema.
Baada ya kuteguka hakumjulisha Mwanae aliyekuwa ndani anayeishi. Kabla ya kwenda Hospitali alipita kwa Mzazi mwenzake JOYCE na Hospitalini ilibainika alikuwa amelewa chakari kiasi cha kushindwa kutamka baadhi ya maneno. Siku anayodaiwa kushambuliwa alionekana katika maeneo ya starehe..
Mbowe ameangukia ndani kwake Cctv za serikali haziwezi fungwa ndani kwa mtu kama zipo ni za Mbowe mwenyewe AZITOE TUKATE MZIZI WA FITINA
How do they prove ni uongo?Hii ndiyo Tanzania
Baada ya uchunguzi atashitakiwa kwa kulidanganya jeshi la polisi na kutoa taarifa za uongo
Mambo mawili yasio tegemeana,kulewa chakari na kushambuliwa,
Kulewa chakari haimanishi kwamba hakushambuliwa,
Wala Mbowe sio wa kwanza kulewa chakali,Charles Kitwanga,alilewa chakali akaingia bungeni,
Sisi hatutaki kujua Mbowe,alikuwa kalewa au la,tuambieni,
Alishambuliwa,au alijashambulia,
Maana kwa mujibu wa intelijensia ya polisi,Mtu anaweza kujiteka(abdul nondo),na risasi inaweza kwenda juu,ikarudi chini,ikakata kona na kumpiga mtu(rejea kifo cha akwilina)
Aibu kubwa sana kwa chademaView attachment 1476442
Chadema imejengwa katika misingi ya ghilba na uongo,ndio maana kuna kiongozi wake amekiri hadhari kusema uongo ili tu kutimiza malengo ya kisiasa
Kwa upuuzi alioufanya mbowe,kama chadema kingekua ni chama makini,muda huu ameshafukuzwa
Ni aibu kwa chama,aibu kwa taifa na dhambi kwa Mungu kwa kiongozi kama mbowe kuzini,tena anatafuna mke wa mtu
Ni kosa kulidanganya jeshi la polisi au hujui kuwa Ni kosa?Hii ndiyo Tanzania
Baada ya uchunguzi atashitakiwa kwa kulidanganya jeshi la polisi na kutoa taarifa za uongo
Nakuwmbia mke wa ndoa wa Mbowe alivyo mzuri ukiiweka picha na ya Joyce Mukya sura ya Mukya takataka Hadi mtu unajiuliza hivi wanaume wanataka Nini hasa kwa wanawake?
Baadha watakuwa wanachungulia na kuondoka.Haya Sasa mambo wazi kabisa ni aibu hii kwa chadema kusema uongo sijui wataficha wapi sura zao chadema [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Atasemaji wakati Ni kijana wakeKaimu balozi wa Marekani anasemaje? Aibuu.
Anadhalilishwa na Nani? Anajidhalilisha mwenyewe kwa kusingizia serikali wakati kaumia huko mitaani shauri ya ulevi.CHADEMA mko wapi mwenyekiti anazalilishwa