Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
kuna watu wakishakufa one day will face firing squad kwa Mungu, hatasubiri hukumu ya kawaidaKatika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata ule wa mke wake si wa kweli.
Ukanushaji wao hauna tofauti na ule wa Spika Tulia aliyesema hakuna mtu aliyeshuhudia Mdude akitekwa, hata mke wake hakushuhudia!Hawa ndio polisi ninaowafahamu, wale waliotoa matamko mwanzo ya kufuatilia hawakuwa wenyewe.
Hayo ni maajabu ya Karne!!!Ukanushaji wao hauna tofauti na ule wa Spika Tulia aliyesema hakuna mtu aliyeshuhudia Mdude akitekwa, hata mke wake hakushuhudia!
Is being destroyed by mabilionea wa CCMMy country
Kama hata mke wake hakushuhudia basi ukweli wanaujua wao.Ukanushaji wao hauna tofauti na ule wa Spika Tulia aliyesema hakuna mtu aliyeshuhudia Mdude akitekwa, hata mke wake hakushuhudia!
Mlitegemea nini toka kwa hao jamaa??Katika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata ule wa mke wake si wa kweli.
Acha ujinga,yeye ndo anawatumaSSH Katika idara anazotakiwa kuwa makini nazo ni polisi,wanamuharibia waziwazi.Rejea kulaumiwa na bunge la mabeberu,ni sababu ya polisi kutumia ngumu kubwa bila akili!
Kama imefikia hapo basi CCM ipo kwenye mkwamo mkubwa !!!Itakuwa haina uwezo wa kuongoza.Acha ujinga,yeye ndo anawatuma