Jeshi la polisi: Hatuna taarifa kutekwa kwa Mdude

Jeshi la polisi: Hatuna taarifa kutekwa kwa Mdude

Hiya day itabidi iwe televised kila mtu aone. Firing squad ihusike, huu unyama usije jirudia vivaz vijavyo
Mungu atawaamlisha mashetani kufaya kazi hii. Kwa walio na umri mkubwa , hiki kitendo kiliisononesha dunia nzima. Ni kutokana na utawala wa Tolbert kuwanyanyasa blacks maana yeye alikuwa kama shombe remnant ya whites! Tusifike huko, watu wasijazwe hasira kufika huku!
 
Ni kweli hakuna alieona na ukimsikiliza mkewe anavyoelezea kwa kweli inatia mashaka ,

Hivi Chadema hawajawahi kutekana ,hawajawahi kupigana risasi ? Na hivi wanavyokuwa wakali kama kuna kitu wanaharakisha ili kupoteza muelekeo.
 
Katika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata ule wa mke wake si wa kweli.
Hii la ndugu yetu Mdude, litaleta tabu kubwa ndani ya nchi, serikali isilichukulie poa .

Kwa mara ya kwanza natoa angalizo juu ya jambo hili la mdude jf,

Hakuna wazo nimewahi toa likaenda tofauti, hata kwa Papa nilisema ,kwamba uwezekano wa Italy kumtoa Papa ni mdogo sana.

Na yupo mdau hum jf ,alinitaka kujua kwa nini nasema hivi ,na nilimpa majibu.

Moderator ikikupendeza pandisha huzi husika
 
Hawa mapolisi wetu ni shida tupu!
Kwani ni yupi waliwahi kusema wamepata taarifa?
hata 'watuhumiwa' wanaotajwa tena kwa majina yao mbona hawajachukua hatua?
Mwenyeji Mungu atatujibia.
 
Ni kweli hakuna alieona na ukimsikiliza mkewe anavyoelezea kwa kweli inatia mashaka ,

Hivi Chadema hawajawahi kutekana ,hawajawahi kupigana risasi ? Na hivi wanavyokuwa wakali kama kuna kitu wanaharakisha ili kupoteza muelekeo.
Mkewe yupi! Aliyekuwa naye chumbani na mtoto mdogo? Au yuko mwingine aliyepandikizwa na CCM!
 
Back
Top Bottom