Naye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dar es Salaam atatoa tangazo zito kwa ajili ya tamasha
RC ALBERT CHALAMILA ATANGAZA TAMASHA KUBWA LA MAPISHI SIKU YA
TAREHE 23 SEPTEMBER 2024 JIJINI DSM, ... RC CHALAMILA AHAIDI TSHS. 20,000 KWA WATAKAO WAHI JUKIANDIKISHA ...
View: https://m.youtube.com/watch?v=_er2BeGdHTU
Mkuu wa mkoa awataka waje kwa wingi na watapata fedha hizo, ili hadi itapofika kesho aweze kupanga ni wapi watafanya tamasha hilo la nishati safi ... kwa...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliwahi kuitisha usafi wa jiji kufanyika kwa kutumia wanajeshi wafangie barabara lakini mwishowe busara ilitumwa kwake kuwa kuwagombanisha askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ / TPDF na raia siyo jambo sahihi kulifanya ..
TOKA MAKTABA :
13 January 2024
kuelekea maandamano ya CHADEMA 23 January 2024
Sasa wanajeshi 5000 na polisi 3000 hiyo Dar itakuwa ni Vita au Ni usafi😅😅 Wamesema wanakuja kufanya usafi, elewa hvy hayo mambo ya vita labla chadema wayatake
View: https://m.youtube.com/watch?v=d85tU2mvfa0Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January 2024 zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.
RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Baptist la Dar es Salaam Tanzania, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi....