GE2025 Jeshi la Polisi kupiga picha Mahakamani kwenye kesi dhidi ya Lissu, ni utaratibu au vitisho?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE NDIYE ALIYE AGIZA KUWA PIZA ZIOIGWE KISHA WAPATIWE WANA KAZI NAZO
 
Hawa ndiyo maana wanaishi kwenye mabanda ya mabati kama njiwa halafu wanawashobokea watawala wenye makasri huko Mbweni na Dubai wapuuzi sana.
Na ndiyo maana hata wazee wetu wa zamani walikuwa na msemo maarufu sana wa "bora ukose mali, upate akili"!! Sasa hawa viumbe, wamekosa vyote!
 
Waweke Live wananchi waache kwenda huko


..Nadhani Jaji Mkuu, Jaji Kiongozi, na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, ni wazembe.

..Kwanini hawajatenga ukumbi mkubwa zaidi ili kuwezesha wananchi wanaofika mahakamani kufuatilia kesi hiyo?
 
Huyu polisi anapiga picha watu wanao kuja mahakamani Ili baadae wakae chini na kuwabaini na kiwafanyaje?je kwa Nini Hana kibali Cha mahakama?
 
Leo mahakamani wanachadema walikuwa wanaogopa huyu jamaa kuliko kitu chochote jamaa akibadili uelekeo wanakimbia tu zile swaga za juzi za kuzingua polis leo wameteuliwa na camera ya polisi tu

Kumbe mikwala yote camera ni siraha kubwa sana kwa makamanda uchwara

USSR
 
Huyu hana cha maana anachokifanya zaidi ya kutengeneza list ya watu wa kuwaua!
 
Hakuna chaa maana hapo.

Ni kutishana na kuogopeshana tu.
Hakuna mtu mwoga kama askari aliyevaa kiraia
 

Mwisho wa siku na yeye kapigwa picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…