Jeshi la Polisi Kutozingatia Sheria ni kwa Sababu ya Kukosa Weledi au ni Kiburi?

Polisi wanapewa tu taarifa, hawaombwi au kuulizwa. Jeshi la polisi wajibu wake ni kusimamia tu hayo maandamano na kuhakikisha hakuna anayevunja sheria za nchi wakati huo wa maandamano.
Hawa polisi unawalaumu bure tu, wenye mamlaka ndio huamua kila kitu wao wanafuata amri tu.
 
Bams
kila kitu unachoandika ni reflecti ya ile topic ya ku-condemn JPM Kwa system iliyopo tangu wakati huo. Sasa ndiyo ujue kuwa hii nchi kunyooka ni tu kama system itang’olewa! Hamna kitu kizuri kitatoka CCM
 
90% ya hao jamaa ni vilaza waliopata division four form 4 hivyo wanaendeshwa kwa remotes
 
Wewe ni polisi? Nasikia huko wanaangalia tu urefu, na siyo.akili au uwezo wa kufundishika.

Loh, huelewi hata kinachojadiliwa!
umri huo bado unaamini akili ni kufaulu shule!!!

siku ukija kuelewa kwamba hata maprofesa waliofaulu vyema shuleni chini ya ccm wanakuwa viazi utakuwa umegundua jambo muhimu sana kichwani kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…