Jeshi la Polisi la Polisi lamjibu Wakili Mwabukusi na wanaharakati kuhusu mamlaka waliyonayo katika kuzuia maandamano

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo.

Tamko hili la Jeshi La Polisi linakuja siku chache tangu Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne Muliro kukataza na kupiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, maandamano ambayo hata baada ya kuzuiwa yalifanyika.

Kwenye tamko lao, Jeshi La Polisi limefafanua kwamba, kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa sura ya 258 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2019 kifungu cha 11 (7) (c) wana mamlaka ya kulinda amani na usalama wa umma na kwamba wanaweza kuzuia maandamano endapo kutakuwa tishio la uvunjifu wa amani, na hivyo hatua wanazochukua ziko ndani ya uwezo wa kisheria.

Jeshi la Polisi pia limeeleza kwamba suala la maandamano linapaswa kufuata taratibu za kisheria ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa sahihi kwa viongozi wa polisi kabla ya kufanyika kwa maandamano yoyote.

Soma pia: CHADEMA watoa tamko baada ya viongozi wake kukamatwa wakiandamana: "Polisi wametumia nguvu kupita kiasi"

Pia, tamko la Jeshi la Polisi linatoa mwongozo kwa vyama vya siasa kuhusu haki zao za kisheria ikiwa polisi watazuia mikutano yao.

Jeshi la Polisi limedokeza kuwa kuwa chama cha siasa kinaweza kukata rufaa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nchi ikiwa watapinga uamuzi wa polisi pamoja na kuongeza jeshi hilo litaendelea kuchukua hatua kali kwa wale wanaopanga au kuhamasisha vitendo vya vurugu.

Tamko Polisi.jpg

Tanpol Tamko.jpg
 
Bora wake kimya

PGO tu yenyewe wanatumumiwa kutoizingatia. Professionalism hakuna, badala yake, hili Jeshi sasa limekuwa likitazamwa kama tawi la chama fulani cha siasa.

Sioni tofauti kati ya waziri wa mambo ya ndani na Jeshi la Polisi ya kuinishawishi kuwa mtu anaweza kukata rufaa kwa waziri kupinga maamuzi ya Jeshi la Polisi na akatendewa haki hass kwa vyama vya Upinzani hususa CHADEMA.

Kwa kifupi, hili Jeshi linatakiwa kufumuliwa na kusukwa upya na IGP wa sasa na safu yake yote ya juu wawekwe pembeni.
 
Siwezi kusoma maelezo ya polisi hayo sababu tunajua polisi wengi ni failures darasani
 
Mwabukusi anatia Chuvi ya mawe kwenye mkaa wa moto Kisha anarudi Nyuma hatua kumi kutoka ulipo moto.
 
Sio kweli kisheria Polisi wanakosea na kulazimisha. Kama kuna viashiria vya amani kuvunjika wanatakiwa kuwasiliana na wahusika kisheria sio kuamka leo kusema Chadema hamruhusiwi na CCM Mnaruhusiwa kwasababu tu ya kujipendekeza. Hakuna demokrasia inayofanya hivyo na hiyo sio sheria ya sasa
 
Sura ya 258, kama ilivyorekebishwa mwaka 2019, inasimamia usajili, uendeshaji, na udhibiti wa vyama vya siasa nchini .

Inatoa mwongozo kuhusu haki na wajibu wa vyama vya siasa katika uendeshaji wa shughuli zao, ikiwa ni pamoja na mikutano na maandamano 🤨

Nini ?….

Ndio, Kifungu cha 11(7) cha Sheria hiyo kinaeleza kwamba:

Ni haki ya vyama vya siasa kuendesha mikutano ya hadhara na maandamano, lakini vina wajibu wa kutoa taarifa kwa mamlaka ya polisi kuhusu mipango hiyo. Hii inatakiwa kufanywa kwa mujibu wa sheria ili kuhakikisha kwamba…

maandamano na mikusanyiko yanafanyika kwa utaratibu unaozingatia usalama na utulivu wa umma.

Swali ni kwako ndugu mtanzania, je usalama na utulivu ulizingatiwa na walioitisha maandamano ?

Lakini pia lazima taarifa sahihi itolewe kwa polisi ili wasimamie…

amani na utulivu wakati wa maandamano

Bila Shaka apa naamini CDM walitoa taarifa kwa jeshi la polisi

Swali ni Kwanini maandamano yazuiliwe ? 😁

Je jeshi la polisi lilizuia maandamano haya bila sababu za msingi ?

Sasa kulingana na…

Ibara ya 30 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sura ya 2, ya mwaka 1977:

Ibara ya 30(1) inatoa mamlaka kwa sheria kuweka mipaka kwenye haki na uhuru wa kikatiba ili kulinda maslahi ya umma, usalama wa taifa, au haki za watu wengine.

Apa ndipo JPL lilianza kusimama…

Pia Ibara ya 30(2) inasema kwamba hakuna mtu atakayekuwa na haki ya kutumia haki au uhuru wake kwa namna ambayo itavuruga amani, usalama, au sheria na taratibu za nchi.

Apa tena wanaolinda amani ya nchi wakapata nguvu zaidi na kusema Apana wakakataa maandamano…

Na nguvu ya jeshi la polisi ilionekana na wote waiosababisha maandamano walikamatwa sio hawa tu bali yoyote alieonekana ni mleta Fujo alidhibitiwa

Asa kulingana na Kifungu cha 5 cha Sheria ya Jeshi la Polisi na Polisi Wasaidizi (Police Force and Auxiliary Services Act)…

Sura ya 322, kama ilivyorejewa mwaka 2002

kifungu cha 5, sheria hii inatoa mamlaka kwa Jeshi la Polisi kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na kuzingatia usalama wa raia na mali zao.

😁malizia apa…👇🏿

Hii ni pamoja na haki ya kuweka zuio au kudhibiti mikusanyiko, maandamano, na shughuli nyingine za kijamii zinazoonekana kuwa na hatari kwa amani na usalama wa taifa.

Na kulingana na JPL walisema kauli za viongozi wa CDM zingepelekea uvunjifu wa amani nchini

Una maoni gani ?
 
Tatizo polisi wanadharau saana.wanaona wananchii wote ni mbumbumbu.hayo ni maelekezo kutoka juu.ata wao hawako huru kutekeleza majukumu yao wanasikiliza wanasiasa ndio maana wanaitwa polisi CCM tunajua kila kitu.
 
sote tupo kwenye mfumo kuuchomoka sio kitu kirahisi
 
Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo.

Tamko hili la Jeshi La Polisi linakuja siku chache tangu Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne Muliro kukataza na kupiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, maandamano ambayo hata baada ya kuzuiwa yalifanyika.

Kwenye tamko lao, Jeshi La Polisi limefafanua kwamba, kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa sura ya 258 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2019 kifungu cha 11 (7) (c) wana mamlaka ya kulinda amani na usalama wa umma na kwamba wanaweza kuzuia maandamano endapo kutakuwa tishio la uvunjifu wa amani, na hivyo hatua wanazochukua ziko ndani ya uwezo wa kisheria.

Jeshi la Polisi pia limeeleza kwamba suala la maandamano linapaswa kufuata taratibu za kisheria ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa sahihi kwa viongozi wa polisi kabla ya kufanyika kwa maandamano yoyote.

Soma pia: CHADEMA watoa tamko baada ya viongozi wake kukamatwa wakiandamana: "Polisi wametumia nguvu kupita kiasi"

Pia, tamko la Jeshi la Polisi linatoa mwongozo kwa vyama vya siasa kuhusu haki zao za kisheria ikiwa polisi watazuia mikutano yao.

Jeshi la Polisi limedokeza kuwa kuwa chama cha siasa kinaweza kukata rufaa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nchi ikiwa watapinga uamuzi wa polisi pamoja na kuongeza jeshi hilo litaendelea kuchukua hatua kali kwa wale wanaopanga au kuhamasisha vitendo vya vurugu.

sote tupo kwenye mfumo kuuchomoka sio kitu kirahisi
Sura ya 258, kama ilivyorekebishwa mwaka 2019, inasimamia usajili, uendeshaji, na udhibiti wa vyama vya siasa nchini .

Inatoa mwongozo kuhusu haki na wajibu wa vyama vya siasa katika uendeshaji wa shughuli zao, ikiwa ni pamoja na mikutano na maandamano 🤨

Nini ?….

Ndio, Kifungu cha 11(7) cha Sheria hiyo kinaeleza kwamba:

Ni haki ya vyama vya siasa kuendesha mikutano ya hadhara na maandamano, lakini vina wajibu wa kutoa taarifa kwa mamlaka ya polisi kuhusu mipango hiyo. Hii inatakiwa kufanywa kwa mujibu wa sheria ili kuhakikisha kwamba…

maandamano na mikusanyiko yanafanyika kwa utaratibu unaozingatia usalama na utulivu wa umma.

Swali ni kwako ndugu mtanzania, je usalama na utulivu ulizingatiwa na walioitisha maandamano ?

Lakini pia lazima taarifa sahihi itolewe kwa polisi ili wasimamie…

amani na utulivu wakati wa maandamano

Bila Shaka apa naamini CDM walitoa taarifa kwa jeshi la polisi

Swali ni Kwanini maandamano yazuiliwe ? 😁

Je jeshi la polisi lilizuia maandamano haya bila sababu za msingi ?

Sasa kulingana na…

Ibara ya 30 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sura ya 2, ya mwaka 1977:

Ibara ya 30(1) inatoa mamlaka kwa sheria kuweka mipaka kwenye haki na uhuru wa kikatiba ili kulinda maslahi ya umma, usalama wa taifa, au haki za watu wengine.

Apa ndipo JPL lilianza kusimama…

Pia Ibara ya 30(2) inasema kwamba hakuna mtu atakayekuwa na haki ya kutumia haki au uhuru wake kwa namna ambayo itavuruga amani, usalama, au sheria na taratibu za nchi.

Apa tena wanaolinda amani ya nchi wakapata nguvu zaidi na kusema Apana wakakataa maandamano…

Na nguvu ya jeshi la polisi ilionekana na wote waiosababisha maandamano walikamatwa sio hawa tu bali yoyote alieonekana ni mleta Fujo alidhibitiwa

Asa kulingana na Kifungu cha 5 cha Sheria ya Jeshi la Polisi na Polisi Wasaidizi (Police Force and Auxiliary Services Act)…

Sura ya 322, kama ilivyorejewa mwaka 2002

kifungu cha 5, sheria hii inatoa mamlaka kwa Jeshi la Polisi kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na kuzingatia usalama wa raia na mali zao.

😁malizia apa…👇🏿

Hii ni pamoja na haki ya kuweka zuio au kudhibiti mikusanyiko, maandamano, na shughuli nyingine za kijamii zinazoonekana kuwa na hatari kwa amani na usalama wa taifa.

Na kulingana na JPL walisema kauli za viongozi wa CDM zingepelekea uvunjifu wa amani nchini

Una maoni gani ?
Tatizo la jeshi la Police Tanzania , viongozi wengi wana elimu ya mkoloni yaani standard 8 , kwa hivo hawaendani kabisa na masuala ya kipolisi karne hii
 
Bora wake kimya

PGO tu yenyewe wanatumumiwa kutoizingatia. Professionalism hakuna, badala yake, hili Jeshi sasa limekuwa likitazamwa kama tawi la chama fulani cha siasa.

Sioni tofauti kati ya waziri wa mambo ya ndani na Jeshi la Polisi ya kuinishawishi kuwa mtu anaweza kukata rufaa kwa waziri kupinga maamuzi ya Jeshi la Polisi na akatendewa haki hass kwa vyama vya Upinzani hususa CHADEMA.

Kwa kifupi, hili Jeshi linatakiwa kufumuliwa na kusukwa upya na IGP wa sasa na safu yake yote ya juu wawekwe pembeni.
Hao wakiwekwa pembeni ndio jeshi la polisi litaacha kuwa "tawi" la Chama Fulani?
 
Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo.

Tamko hili la Jeshi La Polisi linakuja siku chache tangu Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne Muliro kukataza na kupiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, maandamano ambayo hata baada ya kuzuiwa yalifanyika.

Kwenye tamko lao, Jeshi La Polisi limefafanua kwamba, kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa sura ya 258 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2019 kifungu cha 11 (7) (c) wana mamlaka ya kulinda amani na usalama wa umma na kwamba wanaweza kuzuia maandamano endapo kutakuwa tishio la uvunjifu wa amani, na hivyo hatua wanazochukua ziko ndani ya uwezo wa kisheria.

Jeshi la Polisi pia limeeleza kwamba suala la maandamano linapaswa kufuata taratibu za kisheria ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa sahihi kwa viongozi wa polisi kabla ya kufanyika kwa maandamano yoyote.

Soma pia: CHADEMA watoa tamko baada ya viongozi wake kukamatwa wakiandamana: "Polisi wametumia nguvu kupita kiasi"

Pia, tamko la Jeshi la Polisi linatoa mwongozo kwa vyama vya siasa kuhusu haki zao za kisheria ikiwa polisi watazuia mikutano yao.

Jeshi la Polisi limedokeza kuwa kuwa chama cha siasa kinaweza kukata rufaa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nchi ikiwa watapinga uamuzi wa polisi pamoja na kuongeza jeshi hilo litaendelea kuchukua hatua kali kwa wale wanaopanga au kuhamasisha vitendo vya vurugu.

Rubbish
 
Bora wake kimya

PGO tu yenyewe wanatumumiwa kutoizingatia. Professionalism hakuna, badala yake, hili Jeshi sasa limekuwa likitazamwa kama tawi la chama fulani cha siasa.

Sioni tofauti kati ya waziri wa mambo ya ndani na Jeshi la Polisi ya kuinishawishi kuwa mtu anaweza kukata rufaa kwa waziri kupinga maamuzi ya Jeshi la Polisi na akatendewa haki hass kwa vyama vya Upinzani hususa CHADEMA.

Kwa kifupi, hili Jeshi linatakiwa kufumuliwa na kusukwa upya na IGP wa sasa na safu yake yote ya juu wawekwe pembeni.
Polisi wapuuzi sana (Polisi ya miaka hii), ati ukakate rufaa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani! Tofauti gani hapo? Kwa Mkuu wa mapolisi ndiyo uende kukata rufaa? Huku ni kulazimisha/kupinda sheria.
 
Back
Top Bottom