DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Jeshi la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo ya Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, kufuatia taarifa za uwepo wa hatari ya vurugu baada ya ibada.
Hatua hiyo imekuja baada ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne, kueleza kuwa kumekuwa na taarifa za baadhi ya waumini kujikusanya na kuingia barabarani mara baada ya ibada, hali inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani.