Jeshi la Polisi laimarisha Ulinzi Ubungo, Kibo kufuatia tishio la Vurugu baada ya Ibada

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Jeshi la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo ya Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, kufuatia taarifa za uwepo wa hatari ya vurugu baada ya ibada.

Hatua hiyo imekuja baada ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne, kueleza kuwa kumekuwa na taarifa za baadhi ya waumini kujikusanya na kuingia barabarani mara baada ya ibada, hali inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Naona wanapiga per diem tu.
 
​
 
Mbinu ya kugawana posho tu hakuna lolote
 
Kwa hiyo hapo kila jpili ni polisi+difenda znakwenda

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…