Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

Aliowataja wanaohusika na madawa kwanini hamfikirii wanaweza kuhusika? Na labda wameenda kufanyia kazi zao huko walipo, kama kawaida hadi watakapojitokeza kwa mtu kusema kawaona au kaona mienendo ya ajabu mahala. Hapo ndipo polisi wataitwa kwenda kuwakuta walipo.

Suala hili limekuzwa sanaaaaaaaaaa kuliko lilivyotokea. Kila mtu ni ya kusikia nkuturn kuwa mshauri/mpelelezi/kuandika uongo.

Mtu wa kutenda mabaya haswaaa hawezi kuwachukua kihivyo, na mtaani huko CCTV zipo?

Hadi sasa hakuna anayetokeza kusema ilikua hivo au vile, story nyingi na uongo juu. Nani ataamini ipi ya kweli, muache kuchochea mambo. Subirini khaaaaa
Asieeee unasikitisha sana, kumbuka kuna kesho lkn na kuna mungu kama unaamini mungu
 
Kwani majambazi yanapovamia sehemu na kuchukua vitu wakiona Laptop na TV wataviacha?
 
Hii nchi inavituko sana .. Viongozi vituko
Raia vituko
Wenye kuona mbali wametulizana tu maana wanatambua hizi ni cinema za kichina
 
Aliowataja wanaohusika na madawa kwanini hamfikirii wanaweza kuhusika? Na labda wameenda kufanyia kazi zao huko walipo, kama kawaida hadi watakapojitokeza kwa mtu kusema kawaona au kaona mienendo ya ajabu mahala. Hapo ndipo polisi wataitwa kwenda kuwakuta walipo.

Suala hili limekuzwa sanaaaaaaaaaa kuliko lilivyotokea. Kila mtu ni ya kusikia nkuturn kuwa mshauri/mpelelezi/kuandika uongo.

Mtu wa kutenda mabaya haswaaa hawezi kuwachukua kihivyo, na mtaani huko CCTV zipo?

Hadi sasa hakuna anayetokeza kusema ilikua hivo au vile, story nyingi na uongo juu. Nani ataamini ipi ya kweli, muache kuchochea mambo. Subirini khaaaaa
Sumu imeshakuenea pole sana kwa yaliyokupata.
 
Not only low... but very cheap way of reasoning..
Pole endelea kutumika.
 
Asieeee unasikitisha sana, kumbuka kuna kesho lkn na kuna mungu kama unaamini mungu

Ndio hivyo, kuache kutaka kusoma ya ufaku kusingizia viongozi.

Muache mamlaka zinazohusika zifanye kazi.
 
Inatisha sana. Wanatudanganya Watanzania kwamba hawahusiki kumbe ni wao. Kelele za Watanzania nchi nzima zimewaogopesha hawa vinginevyo hawa nao wangepotea kabisa. Yule mwigulu anajibaraguza mitandaoni jana eti naye anashangazwa na kutekwa kwao kumbe yuko ndani ya himaya yake. Wamrudishe Bensaanane akiwa hai na mzima wa afya.

Inasikitisha sana... kwa hali ilivyo hata hao watekaji hawatawaachia kwasababu watu wata question zaidi tofauti na ilivyokua kwa Nay wa mitego. what happened kwa Ben Saanane ndio kinachoenda kuwatokea hao wenzetu. INATISHA JAMANIII... nimemsikiliza mke wake uwiii hadi tumbo limenikata
 
Inatisha sana. Wanatudanganya Watanzania kwamba hawahusiki kumbe ni wao. Kelele za Watanzania nchi nzima zimewaogopesha hawa vinginevyo hawa nao wangepotea kabisa. Yule mwigulu anajibaraguza mitandaoni jana eti naye anashangazwa na kutekwa kwao kumbe yuko ndani ya himaya yake. Wamrudishe Bensaanane akiwa hai na mzima wa afya.
Anaandika Mzalendo Bollen Ngetti

SUALA la utekaji, utesaji na hata upotezaji wa watu huwa na sura mbili hususan katika tawala za Kiafrika. Suala hili ni la kawaidi katika nchi za Rwanda, Burundi, Ethiopia, Misri, Afrika Kusini na Angola. Hata Kenya hali ni hiyo hiyo.

Mara nyingi matukio haya hutendwa ama na vyombo vya dola kama Idara za Usalama au Jeshi la Polisi au vikundi vya kigaidi vyenye misukumo ya kisiasa.

Inapotokea Idara ya Usalama kumpoteza mtu lazima kuna kuwa ushahidi usio na chembe ya shaka kuwa mtu huyo anahatarisha usalama wa Taifa. Kwamba kuendelea kuwepo uraini ni hatari kwa uhai wa Taifa na hivyo ni salama zaidi akapotezwa ama kufungwa jela daima, kuuawa au kufichwa katika "dark sites" kwa mahojiano zaidi. Hapa Idara hii inalihakikishia Taifa usalama wake.

Wakati mwingine matukio haya hutendwa na Jeshi la Polisi wasio waaminifu kufuta ushahidi wa matendo yao maovu. Mathalan jambazi sugu amekamatwa akiwa hai na sheria inataka afikishwe kortini. Lakini kwa intelijensia ya polisi mtu huyu ni hatari zaidi. Polisi kuondoa "usumbufu" ni rahisi kummaliza huyu mtu na isiwepo kesi yoyote. Si haki lakini "hakuna namna" anauawa.

La tatu matendo haya hutendwa na vikundi vyenye misukumo ya kisiasa. Na mchezo huu kwa Tanzania imewahi kuchezwa sana na CHADEMA kwa kikosi chake cha Red Brigade al-maarufu MUNGIKI. Hapa lengo linakuwa ni kuwajengea wananchi mazingira ya kuamini Serikali yao ni katili na ndio inayoteka na kutesa watu na kuwapoteza. Hutumia mbinu hii kujaza umma hasira na chuki ili umma ikione chama hicho ndio kimbilio la wanyonge wenye huruma.

Hufanya kazi hii kwa akili ya hali ya juu. Unaweza kuonekana mtu anayemkosoa sana ama mkuu wa nchi au Serikali yake, basi kikundi hiki hutumia mbinu ya kumteka, kumpoteza ili ijengeke picha kuwa ametekwa na Serikali. Rejea kupotea kwa Ben Saanane na jinsi viongozi wa CHADEMA walivyolishughulikia kimtulinga. Hadi Leo ilitaka kuaminishwa umma eti katekwa na vyombo vya dola kwa kumkosoa Rais JPM kuhusu PhD yake. Hoja ambayo hata hivyo ilipeperuka na kupotea. Mimi bado nina amini viongozi wa CDM wanajua aliko Ben.

Roma Mkatoliki na wenzie wamechukuliwa na watu waliosadikika kuwa ni Polisi. Hapa pia "kusadika" inataka kuleta picha ya moja kwa moja kuwa ni Polisi walimteka. Na endapo atapotea mazima au kufa basi taswira iwe ni Jeshi la Polisi limehusika. Ninakataa tabia hii. Tunaijengea picha mbaya nchi yetu katika jumuiya za kimataifa. Tanzania hatujafika huko. Jeshi la Polisi limekiri kupokea taarifa za kupotea kwa wasanii hao na limeanza upelelezi. Povu la nini? Na kwa nini tuiharakishe jeshi hilo tunavyotaka? Wanaweza kutumia wiki kadhaa, siku kadhaa hata miaka kadhaa maana huwezi jua mtekaji alijipanga vipi na kwa muda gani. Tuache jeshi lifanye kazi.

Uongozi wa Mkoa umesema haitofika Jpili tayari ROMA atakuwa amepatikana. Tusubiri badala ya kuishutumu Serikali as if hii ni Serikali ya kigaidi. Nakataa maana watu kama ROMA hawana madhara yoyote kwa utawala wa nchi na usalama wa Taifa. Ni mbwembwe tu za mitandaoni na uhuru wa maoni.

Tumtafute Ben, tumtafute ROMA bila kusahau kujua "ajali" iliyomuua Chacha Wangwe ilisababishwa na nini (nani).
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!
Makonda ametimiza ahadi
 
Inatisha sana. Wanatudanganya Watanzania kwamba hawahusiki kumbe ni wao. Kelele za Watanzania nchi nzima zimewaogopesha hawa vinginevyo hawa nao wangepotea kabisa. Yule mwigulu anajibaraguza mitandaoni jana eti naye anashangazwa na kutekwa kwao kumbe yuko ndani ya himaya yake. Wamrudishe Bensaanane akiwa hai na mzima wa afya.
Wasanii walianzishe la Ben Saanane kama Roma maana Chadema bado wanaendelea kunywa sprite bashite! Hii nchi ina mazingaombwe kweli yaani bashite sirro wanatufanya Watanzania wote hatunazo na upinzani wamekaaa kimya nashindwa kuamini!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naam kuna haja ya kuwashirikisha wasanii kuhusu kupotea kwa Bensaanane mpaka kieleweke. Maisha ya Watanzania yameingia dosari kubwa sana kwenye hii Serikali dhalimu.

Wasanii walianzishe la Ben Saanane kama Roma maana Chadema bado wanaendelea kunywa sprite bashite! Hii nchi ina mazingaombwe kweli yaani bashite sirro wanatufanya Watanzania wote hatunazo na upinzani wamekaaa kimya nashindwa kuamini!
 
Roma ajitokeze kueleza kilichomkuta
 
Back
Top Bottom