Ukisoma hizo sentensi kwa umakini wa dhati utagundua tatizo kubwa na ufisadi wa kutisha! Hata hivyo kwa vile tuna mazoea ya ushabiki kwa mambo ya msingi kupitia kwa kauli ya NS hoja hii imekwishachakachuliwa na wabunge kupitia kmt iliyoundwa wamrtumia fedha za walipa kodi kufanya utalii. Ukweli ni kwamba baadhi ya mashine hizo zilifungwa wakati(kabla) wa ziara ya kamati hiyo.