Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Askofu Bagonza mwenyewe hakuandamana angekuwa serious kwa aliyosema si angeandamana hata peke yake kuonyesha kuwa he means what he says!!!
Lakini wapi kaufyata.Askofu mzima hovyo anawatwika wengine nira ambayo yeye hawezi beba.Farisayo mkubwa

Acha upotoshaji wa kijinga, hakusema watu waandamane, bali alisema tuvae nguo nyeupe, na yeye alivaa pia.
 
Ila kuna mijitu bado mipumbavu sijapata kuona, anaewatuma waandamane amekaa nyumbani kwake anakula bata na familia yake wala hana habari nanyi...hapo anaepukana na madhara ya aina yote.
 
Back
Top Bottom