PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kawaingiza chaka kina nani?
kuna muda watu mnashangaza?
Kwani hao wana tiktok ndo wanaandamana?
WaTZ ndo wanaandamana na barua wanayo acha kudanganya watu hapa! Btw
Ht 29 hakukuwa na taarifa

D9 mkienda mikono mitupu kama mnavyoambiwa mtafumuliwa ubongo ,mkitoka kwa ajili ya kupambana hapo mnaweza kuleta effect ,jamaa wamejipanga hasa FULL Loaded with Heavy Tools kwahiyo mkienda kizembe na bendera tu hakika Dem boyz gonna peel your caps.
 
wangeandamana kwenda ikulu au kufika mnazi mmoja na kuwasilisha ujumbe, kuiba simu za billnass ni maandamano? kuvunja kituo cha polisi na kuiba silaha ni maandamano? VIPI NYIE hamjifunzi nchi watu Madasca walichoma kituo hata kimoja ? Mnatetea ujinga , wale ni Majambazi
Unaweza kung'ang'ania haya, wakati huna akili ya kujibu swali unaloulizwa moja kwa moja. Maana yake ni kuwa wewe ni kiyazi tu; kama siyo mmoja wa nguruwe awafugao Samia Suluhu Hassan
 
Back
Top Bottom