wangeandamana kwenda ikulu au kufika mnazi mmoja na kuwasilisha ujumbe, kuiba simu za billnass ni maandamano? kuvunja kituo cha polisi na kuiba silaha ni maandamano? VIPI NYIE hamjifunzi nchi watu Madasca walichoma kituo hata kimoja ? Mnatetea ujinga , wale ni Majambazi