Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Hizi shule za kuungaunga nazo ni shida. Huyu jamaa ni RPC, lakini hajui tofauti ya maneno “Kaimu” na “Makamu”. Yaani yeye na wasaidizi wake wote hawajui tofauti? They must be a bunch of fools! Ina maana mpaka amekuwa RPC hajawahi kukaimu nafasi yoyote?
Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo
Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche
TAARIFA KWA UMMA.
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linathibitisha kutokea kwa tukio la shambulio la kudhuru mwili alilolipata Katibu Mwenezi wa Bawacha Taifa ambaye amefahamika kwa jina la Sigrada Mligo 34, mkazi wa Mji mwema mkoa wa Njombe.
Ambapo Mnamo tarehe 25.03.2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kilikuwa na kikao cha ndani pamoja na viongozi wa Taifa wakiongozwa Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche.
Katika kikao hicho mambo mbalimbali yalijadiliwa ikiwemo lililokuwa linamuhusu Katibu Mwenezi wa Bawacha Taifa Bi. Segrada Mligo juu ya kufanya mikutano bila kufuata utaratibu wa chama hicho.
Katika hoja hiyo, kuliibuka taharuki na sintofahamu na baadae alielekezwa kutolewa nje ya kikao ili kupunguza munkali aliyokuwa nayo. Aidha baada ya kuwa hali imetulia yalitoka maelekezo ndani ya kwamba aweze kurejea na kikao hicho kiweze kumalizika lakini chakushangaza mmoja wa walinzi wa chama hicho cha Chadema aliyefahamika kwa jina Noel Olevale aliweza kumshambulia Bi Segrada Mligo na kuweza kuanguka chini wakati wa tukio hilo kulikuwa na askari pembeni ambao walichukua hatua ya kutaka kumkamata Mtuhumiwa huyo ambapo aliponyoka na kukimbia.
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe lilifanya jitihada za kumpatia huduma ya kwanza ikiwemo kumpatia PF3 na kufungua kesi na kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya
Kibena mkoani Njombe akiwa anaendelea kupatiwa matibabu na jitihada za kumtafuta mtuhumiwa zinaendelea.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi kwani halitosita kuchukua hatua kwa mtu yoyote atakayebainika. Aidha hali ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Njombe ni shwari mikutano ya Chadema inaendelea kufanyika na hakuna uvunjifu wa amani.
Imetolewa na:
Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Njombe.
Mkuu polisi wa nchi hii hasa wale wenye nafasi za juu wengi ni VILAZA kuliko Bashite!Hizi shule za kuungaunga nazo ni shida. Huyu jamaa ni RPC, lakini hajui tofauti ya maneno “Kaimu” na “Makamu”. Yaani yeye na wasaidizi wake wote hawajui tofauti? They must be a bunch of fools! Ina maana mpaka amekuwa RPC hajawahi kukaimu nafasi yoyote?
Huyu ametenda jinai karibia waue huyu dadaKwenye kesi za chadema wako mbio mbio kama ngiri mkia juu. Ila Makalla akitoa uzushi wa kuleta taharuki kwa nchi wanajifanya hasikii
Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo
Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche
TAARIFA KWA UMMA.
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linathibitisha kutokea kwa tukio la shambulio la kudhuru mwili alilolipata Katibu Mwenezi wa Bawacha Taifa ambaye amefahamika kwa jina la Sigrada Mligo 34, mkazi wa Mji mwema mkoa wa Njombe.
Ambapo Mnamo tarehe 25.03.2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kilikuwa na kikao cha ndani pamoja na viongozi wa Taifa wakiongozwa Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche.
Katika kikao hicho mambo mbalimbali yalijadiliwa ikiwemo lililokuwa linamuhusu Katibu Mwenezi wa Bawacha Taifa Bi. Segrada Mligo juu ya kufanya mikutano bila kufuata utaratibu wa chama hicho.
Katika hoja hiyo, kuliibuka taharuki na sintofahamu na baadae alielekezwa kutolewa nje ya kikao ili kupunguza munkali aliyokuwa nayo. Aidha baada ya kuwa hali imetulia yalitoka maelekezo ndani ya kwamba aweze kurejea na kikao hicho kiweze kumalizika lakini chakushangaza mmoja wa walinzi wa chama hicho cha Chadema aliyefahamika kwa jina Noel Olevale aliweza kumshambulia Bi Segrada Mligo na kuweza kuanguka chini wakati wa tukio hilo kulikuwa na askari pembeni ambao walichukua hatua ya kutaka kumkamata Mtuhumiwa huyo ambapo aliponyoka na kukimbia.
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe lilifanya jitihada za kumpatia huduma ya kwanza ikiwemo kumpatia PF3 na kufungua kesi na kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya
Kibena mkoani Njombe akiwa anaendelea kupatiwa matibabu na jitihada za kumtafuta mtuhumiwa zinaendelea.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi kwani halitosita kuchukua hatua kwa mtu yoyote atakayebainika. Aidha hali ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Njombe ni shwari mikutano ya Chadema inaendelea kufanyika na hakuna uvunjifu wa amani.
Imetolewa na:
Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Njombe.
Kwa mara ya kwanza Jeshi la Polisi, linaandika Taarifa refuuuuuuuuuuuuuu, Et Polisi walikuwepo, wakataka kumkamata mtuhumiwa, wakampa msaada wa PF3( walitembea na PF3) , wakafungua kesi

Analazimisha kujitapikisha??.Huyu ametenda jinai karibia waue huyu dada
View: https://www.instagram.com/reel/DHqw9bUiGr5/?igsh=MTEzbG91NDlwdjVvdw==
Wanaunga Elimu MkuuHizi shule za kuungaunga nazo ni shida. Huyu jamaa ni RPC, lakini hajui tofauti ya maneno “Kaimu” na “Makamu”. Yaani yeye na wasaidizi wake wote hawajui tofauti? They must be a bunch of fools! Ina maana mpaka amekuwa RPC hajawahi kukaimu nafasi yoyote?
Alafu Mgonjwa wa Kufa hapigi kelele , hajilazimishi kutapikaHuyu ametenda jinai karibia waue huyu dada
View: https://www.instagram.com/reel/DHqw9bUiGr5/?igsh=MTEzbG91NDlwdjVvdw==
Wassira hukumbuki alivyokua anatembeza kipigo Kwa Washindan wake??.Chama cha wahuni hiki