Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

Mbogwe ndio nini?
 
Sijui kwann nimecheka baada ya kumuona mgonjwa. Akishikwa kufg utasku uuuuuuh 😀
 
Chama kishakuwa cha kihuni fullu! Mwenyekiti roporopo mtukanaji, makamu fokafoka ngumi mikononi, Lema mpiga Hela mzee wakitofali, Slaa msaliti asiyeonaga haya...
Sijui nani wakumfunga panya kengele? Maana mnyika wanamwita kajanandala... Kina Esta hawatakiwi sa sijui wataingiaje uchaguzi
 
Alafu Mgonjwa wa Kufa hapigi kelele , hajilazimishi kutapika
Unakwaaaaa kwaaaaa, alafu unatema mate 🤣🤣
Hiyo inaitwa malingering. JKT tulikuwa tunaitumia kukwepa kazi, lakini afande akikusitukua anakukabidhi kwa MP na kuunguruma, “MP, mpige drill huyu mpaka atapike nyongo!”😅
 
Hii habari imetolewa na polisi? Kweli nchi yetu ina vilaza na wapumbavu. Eti ''cha kushangaza..... aliweza'' Hata kuandika habari ki-professional hawawezi?
 
Hizi habari watashikia bango kwa kuwa ndio habari wanapenda

Kuna wengine walimrabua warioba makofi lkn hakukuwa na tamko lolote
 
Hii ndiyo CHADEMA inayodhalilisha wanawake hawafai kupewa uongozi
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga amesema wanamtafuta Noel Olevale anayedaiwa kuwa mlinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa tuhuma za kumjeruhi Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa chama hicho (Bawacha), Sigrada Mlingo.

Taarifa ya Banga aliyoitoa leo Jumatano, Machi 26, 2025 imeeleza tukio hilo limetolea jana Jumanne, Machi 25, 2025 mkoani Njombe katika kikao cha ndani kilichokuwa kikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema- Bara, John Heche.

Your browser is not able to display this video.
 
This is a one-sided story ya yaliyojiri. Usikute mdada alimlamba kibao mlinzi kisha mlinzi naye akajibu mapigo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…