Dr.Slaa mpaka amanyimwa dhamana mwezi na ushee kwanini Amos Makalla naye asiendewe usiku atupwe ndani na kunyimwa dhamana.Hiyo huwezi kulinganisha na kushambulia mtu bwashee.
Kwani huyo msemaji wa bawacha aliyeshambuliwa ni timu mbowe?Dr.Slaa mpaka amanyimwa dhamana mwezi na ushee kwanini Amos Makalla naye asiendewe usiku atupwe ndani na kunyimwa dhamana.
Double Standard.
Kwenye kesi za chadema wako mbio mbio kama ngiri mkia juu. Ila Makalla akitoa uzushi wa kuleta taharuki kwa nchi wanajifanya hasikii
Kushambulia mtu unaweza kulinganisha na uzushi wa mtu?
Btw, acheni kushambuliana basi, mnaharibu taswira ya chama.
Kijana wa usalama awe mlinzi wa makamu mwenyekiti wa Chadema? Au hukusoma maelezo?Huyo mlinzi ni vijana wa usalama wanaotumwa kufanya vurugu ili polisi watumie mabomu na kuzuia mikutano ya Chadema. Ndio maana hakukamatwa na hata kamatwa na akikamatwa hatafikishwa mahakamani .
Chadema wasimame kidete kuhakikisha huyo mlinzi anakamatwa ili wajue nini kipo nyuma ya pazia .
Kijana wa usalama awe mlinzi wa makamu mwenyekiti wa Chadema? Au hukusoma maelezo?
Kama ni hivyo basi chadema ni kitengo cha usalama.
Mbowe ndio chanzo cha mivutano yote paale CDM, lakini tunashukuru Mungu ameng'olewa kwenye uongozi.Mbowe sio mpinzani halisi .
Madarakani miaka 24 halafu akagombea na kushinda kwa kura halali lakini cha ajabu hajawahi hata kuonekana hadharani kumsapoti Mwenyekiti Mpya ili chama kisiwe na mpasuko .
Ukimya wa Mbogwe na kususia Kauli Mbiu aliyoiasisi yeye mwenyewe ni jambo baya sana .
Wafuasi wengi wa Mbogwe ni wanufaika na mfumo wa CCM kutengeneza wapinzani feki . Sasa wanaota bado kuwa wataendelea na siasa zile za kisanii.
Hawajali vifo na majeraha ya watu.
WAPUUZI SN HW NA AKILI 0Hapo polisi wamekuja haraka sana na press juuu kwasababu ni taarifa inayowagawa CHADEMA ila matukio makubwa ya kuteka watu wako kimya. Stupid kabisa.
Kwahyo mkuu watuuwe au vip? Polepole alisema wahuni wapo ccm banaNyie Chadomo ni wahuni sana na Bangi zenu.
Mara nyingi mnanyanyasa wanawake,Polisi iwashughulikie
Kama Makonda alivyompiga Warioba ukumbini na Ndugai alivyombamiza na rungu mgombea mwenzake ukumbini, pia CCM walivyomkolimba Kolimba ukumbini eti wakimhoji kwanini anataka kuihama CCM!Chama cha wahuni hiki
Lini?Kama Makonda alivyompiga Warioba ukumbini na Ndugai alivyombamiza na rungu mgombea mwenzake ukumbini, pia CCM walivyomkolimba Kolimba ukumbini eti wakimhoji kwanini anataka kuihama CCM!
Askari polisi anajua kujieleza vizuri Sana ..kwa utulivu na kueleweka
Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo
Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche
TAARIFA KWA UMMA.
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linathibitisha kutokea kwa tukio la shambulio la kudhuru mwili alilolipata Katibu Mwenezi wa Bawacha Taifa ambaye amefahamika kwa jina la Sigrada Mligo 34, mkazi wa Mji mwema mkoa wa Njombe.
Ambapo Mnamo tarehe 25.03.2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kilikuwa na kikao cha ndani pamoja na viongozi wa Taifa wakiongozwa Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche.
Katika kikao hicho mambo mbalimbali yalijadiliwa ikiwemo lililokuwa linamuhusu Katibu Mwenezi wa Bawacha Taifa Bi. Segrada Mligo juu ya kufanya mikutano bila kufuata utaratibu wa chama hicho.
Katika hoja hiyo, kuliibuka taharuki na sintofahamu na baadae alielekezwa kutolewa nje ya kikao ili kupunguza munkali aliyokuwa nayo. Aidha baada ya kuwa hali imetulia yalitoka maelekezo ndani ya kwamba aweze kurejea na kikao hicho kiweze kumalizika lakini chakushangaza mmoja wa walinzi wa chama hicho cha Chadema aliyefahamika kwa jina Noel Olevale aliweza kumshambulia Bi Segrada Mligo na kuweza kuanguka chini wakati wa tukio hilo kulikuwa na askari pembeni ambao walichukua hatua ya kutaka kumkamata Mtuhumiwa huyo ambapo aliponyoka na kukimbia.
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe lilifanya jitihada za kumpatia huduma ya kwanza ikiwemo kumpatia PF3 na kufungua kesi na kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya
Kibena mkoani Njombe akiwa anaendelea kupatiwa matibabu na jitihada za kumtafuta mtuhumiwa zinaendelea.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi kwani halitosita kuchukua hatua kwa mtu yoyote atakayebainika. Aidha hali ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Njombe ni shwari mikutano ya Chadema inaendelea kufanyika na hakuna uvunjifu wa amani.
Imetolewa na:
Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Njombe.
Kamuulize shangazi yako, unasingizia ulikuwa Milembe.Lini?
Shangazi nani?Kamuulize shangazi yako, unasingizia ulikuwa Milembe.
Hao ndio RED BRIGADE....ni makatili sana....

....naye alikuwa ni mfadhili wa RED BRIGADE....Habari kama hizi huwezi kumuona Erythrocyte 😂