Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

Kesi hii pia ifuatiliwe, ni muda mrefu Polisi hawajayoa mrejesho

TOKA MAKTABA:
20 Oktoba 2024
Kiongozi Wanawake CHADEMA Asimulia Alivyotekwa: Walijitambulisha Ni Polisi,

View: https://m.youtube.com/watch?v=okZ0Rej9kIA
Baada ya Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Aisha Machano kuruhusiwa kutoka hospitali ya Mwananyamala anazungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 20/10/2024 saa saba mchana, Makao Makuu ya Mabaraza, Ufipa Kinondoni kuelezea tukio la utekaji wake lilivyokuwa...
 
Hatari kweli kweli
 
Hawa ndio wahuni wa Chadema eti walinzi! Kama ni mtu mzuri kwanini anakimbia? Siku akishushwa kwenye basi, naye mtadai katekwa?
 
Wawasake kwanza wauwaji, watesaji na watekaji; ni wajibu wao pia.
 
Hatimaye..
 
hivi huyu mlinzi wa heche polisi hawajampata tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…