johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Kwani leo swala zimesitishwa?Misa je! Itasitishwa jumapili?
Kwani leo swala zimesitishwa?Misa je! Itasitishwa jumapili?
Tumeelewa sanaKamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon.
Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Wewe technically acha hizo basi tusije tukakuweka wazi kabisa. Ulisema unataka kupindua nchi tunasubiri hayo mapinduzi ili wakunyooshe!!Polisi waache mambo ya kitoto! Walitakiwa waseme wamesitisha kwa sababu ya hili janga la corona.
Na tunatarajia hata wale fisiemu walio tutishia nyau kutaka kumshinikiza yule mungu wao kutawala milele, wataifyata mikia yao kuanzia sasa.
Haki marathon? Kitu gani hii?Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon.
Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Haki MarathoniTumeelewa sana View attachment 1718203
Tate Mkuu na technically, wapi na wapi!! 🤔 Huku ndiyo kuanza kuchanganyikiwa sasa na hasa baada kutenda maovu kwa raia wema na wasio na hatia.Wewe technically acha hizo basi tusije tukakuweka wazi kabisa. Ulisema unataka kupindua nchi tunasubiri hayo mapinduzi ili wakunyooshe!!
Nasikia dawa yako wanayo!!Tate Mkuu na technically, wapi na wapi!! 🤔 Huku ndiyo kuanza kuchanganyikiwa sasa na hasa baada kutenda maovu kwa raia wema na wasio na hatia.
Simba kashinda 3!
Sasa wakina nandy konde &co ltd wataishijeSimba kashinda 3!
PoaKamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon.
Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Na IGP aseme neno kwa nchi nzima watu tunapenda kuishiKamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon.
Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Upo sahihi, kuna watu wanaimani kiasi cha kutodhamini uhai wao, ni ujinga!Hata wakisitisha! mimi sina tatizo. Uhai wa mtu ni muhimu sana kuliko kitu kingine chochote kile.
Kwa mtu yyt anayeweza kufanya jogin ki msingi hawezipata coronaNil iona JWTZ wakikimbia mchakamchaka hadi nilijiuliza kwamba hawagopi covid 19.
Itakuwa laini tu.Tunasubiri ratoNchi ngumu sana hii