Jeshi la Polisi lasitisha vibali vyote vya mbio, jogging, maonesho na maandamano kwa sababu za kiusalama

Tumeelewa sana
 
Polisi waache mambo ya kitoto! Walitakiwa waseme wamesitisha kwa sababu ya hili janga la corona.

Na tunatarajia hata wale fisiemu walio tutishia nyau kutaka kumshinikiza yule mungu wao kutawala milele, wataifyata mikia yao kuanzia sasa.
Wewe technically acha hizo basi tusije tukakuweka wazi kabisa. Ulisema unataka kupindua nchi tunasubiri hayo mapinduzi ili wakunyooshe!!
 
Haki marathon? Kitu gani hii?
 
Poa
 
Na IGP aseme neno kwa nchi nzima watu tunapenda kuishi
 
Mwaka 2019 Ubalozi wa Marekani walitoa tahadhari ya kiusalama kabla ya mbio za Dasani Marathon, lakini zilifanyika kama kawaida na mgeni rasmi alikuwa kamanda Sirro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…