johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Juzi nimetoka Dar-MORO, gari limesimamisha kuanzia stand Mbezi. Njiani trafiki aliingia na hakushangaa chote utafikiri kawaida tu.Na pia atoe onyo kwa madereva wanaoendesha mabasi huku kuna abiria wamesimama hawana siti na wengine wamekaa pale mbele, hawana mikanda
Hivi kuna traffic mwembamba kweli?,Badala ya kutoa barua za onto, peleka hao trafik mafunzoni kuondoa vitambi.
Muanze na lile jamaa la kibaha jirani na stendi mpya
Sauli au new force? Maana sasa hivi ligi iko nyanda za juu kusini...hao kina DPK na DZU..ni mtifuano wa hatari.T 712 DPK Fata Chuma
🤣 🤣 na ule msemo wao wa kipuuzi "acha MALALAMIKO FATA CHUMA"Sauli au new force? Maana sasa hivi ligi iko nyanda za juu kusini...hao kina DPK na DZU..ni mtifuano wa hatari.
Sauli au new force? Maana sasa hivi ligi iko nyanda za juu kusini...hao kina DPK na DZU..ni mtifuano wa hatari.
T 712 DPK Fata Chuma
Huyu dereva inasemekana alifariki kwenye ajali ya New force iliyoingia kwenye korongo Morogoro mwezi huu.Huu upumbavu unaofanywa na yale mabasi yaendayo Mbeya/Tunduma na kupewa nguvu na baadhi ya raia na wana-usalama wa barabarani ipo siku yatafanya bendera kupepea nusu mlingoti.
Ni kweli.somebody Sam..Huyu dereva inasemekana alifariki kwenye ajali ya New force iliyoingia kwenye korongo Morogoro mwezi huu.
Wanaenda mwendokasi wanasahau kuwa wanafamilia. Sifa zinawaua.
Sam ndio ila hakuwa dereva wa DPKNi kweli.somebody Sam..