Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa taarifa ya Mchezaji Bernard Morrison kuhusu Kituo cha Polisi Mbweni

Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa taarifa ya Mchezaji Bernard Morrison kuhusu Kituo cha Polisi Mbweni

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kumhusu Mchezaji Bernard Morrison ikituhumu Kituo cha Polisi Mbweni

Screenshot_20241219_135703_Instagram.jpg
 
Mchezaji analipa hela ili asajiriwe au mchezaji mdiye anatakiwa kulipwa ili asajaliwe?😀
Sio wote wanaoitwa na klabuu, wapo wachezaji waliokuja wenyewe Tanzania kwa ajili ya kutafuta timu. Hao kwa vyovyote watakuwa wanatumia fedha zao kwa ajili ya kujikimu (chakula na malazi). Kwa hiyo sisi tunaojua soka kwetu sio jambo la ajabu
 
NItajie wachezajo watano nchini waliotumia hiyo njoa
Kazi ya wakala au meneeja hiyo
 
Back
Top Bottom