Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa taarifa ya Mchezaji Bernard Morrison kuhusu Kituo cha Polisi Mbweni

Kwasisi tuliowahi kucheza mpira huwa tunaelewa hilo
Siyo kwamba nashangaa, Mimi pia nimecheza mpira, lakini sikuwahi kufanya huo ujinga. Waliokuwa wanalipa hela ni wale mpira uliwakataa wakawa wanalazimisha.
Binafsi mpira ulijipendekeza kwangu, mimi ndiye niliukataa nikazingatia masomo na maisha mengine.
 
Hela inauma sana hata kama ni buku jero. Kwa mtu wa level ya Morison hiyo si ni hela ya kunywa bia siku moja tu hoteli?
 
Unazungumzia mpira wa shuleni?😆😆😆😆
Ndicho akili yako hicho ndiyo imekiona kwenye comment yangu? hata nikisema ndiyo ni shuleni kuna shida gani? Unadhani mpira ni lazima ucheze kwa kuhonga tena ukiwa mitaani baada ya shule?
Ndiyo maana nimekwamba mpira ilijipendekeza kwangu, ila mimi nokaupiga chini.
 
Shida ni kwamba yeyote ana uwezo wa kuongea hivyo ila ukweli ni kwamba wewe haujawahi kucheza mpira katika level yeyote ile ndio maana unalishangaa hili
 
Aisee, kwani nikisema sawa mimi sijacheza mpira kwa level yoyote na wewe ndiye umecheza kwa kuhonga kama unavyojitamba kuna shida gani.
 
Back
Top Bottom