Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa taarifa ya Mchezaji Bernard Morrison kuhusu Kituo cha Polisi Mbweni

Mchezaji analipa hela ili asajiriwe au mchezaji mdiye anatakiwa kulipwa ili asajaliwe?😀
Sio wote wanaoitwa na klabuu, wapo wachezaji waliokuja wenyewe Tanzania kwa ajili ya kutafuta timu. Hao kwa vyovyote watakuwa wanatumia fedha zao kwa ajili ya kujikimu (chakula na malazi). Kwa hiyo sisi tunaojua soka kwetu sio jambo la ajabu
 
NItajie wachezajo watano nchini waliotumia hiyo njoa
Kazi ya wakala au meneeja hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…