Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU

Wananchi wote mnakaribishwa
Screenshot_20231110-212950.png
 
Sehemu imejaa failures kibao mnategemea nini zadi ya wao kuishi kwa kujipendekeza kwa serikali .

Polisi wengi walienda sababu ya kufeli shule, ukiwauliza kwa kupenda tu ni wa kuhesabu.
 
Back
Top Bottom