Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

Tena bora huyu kakamatwwa watu wameona kuna wengine wana deal nao kimya kimya
Hawarudi....mkuu kuna watu watukutu bana

Ova
 
Amekamatwa kistaarabu sana na kwa huruma kubwa sana. Maana ningekuwa ni mimi ndiye polisi.yule mhalifu angekimbia halaka sana kupanda gari na kuomba kufikishwa polisi Mwenyewe
Wewe ni Saddist furaha yako ni kuoma mateso kwa wengine.

Siasa za chuki zimekuuharibu ukiwa bado Kijana. Mzee uspobadilika hifiki mbali.
 
Mhalifu askari anampiga kwa kumponda na jiwe kama anapasua kokoto🙌😀
 
Tena bora huyu kakamatwwa watu wameona kuna wengine wana deal nao kimya kimya
Hawarudi....mkuu kuna watu watukutu bana

Ova
Watu watukutu wapo sana.. lakini serikali yetu bwana ya ajabu sana. Wezi wenyewe wako huko kwenye system. Hao waokota kuku hawana impact
 
Tatizo hapa kuna ingiliana mambo mawili siasa na kijamii
Na egemea sana upande wa kijamii na polisi
Narudia tena kuna watu watukutu sana mkuu

Ova
 
Unao uwezo huo? Au kwa kuwa uko nyuma ya keyboard na umekaa sebuleni kwa mume wa dada yako!!
usione watu wapo kimya ila amin ipo siku nchi itanuka , hata Somalia watawala na machawa wao waliudharau umma ila siku moja mji mzima kila mtu alikuwa na silaha na kila mtawala na chawa wake walichomwa moto kama kuku na familia zao .

MNATETEA UDHALIMU ILA KWENY HII DUNIA HAKUJAWAI KUWA NA MSHINDI WA MUDA WOTE LZM KUNA MUTA ATAONJA JOTO YA DUNIA , CCMU MUDA WAO WAJAAA
 
tetea watekaji wenzio ipo siku tutawatia viberiti , usione watu wapo kimya ila ukimya ni mbaya sana , jitie kiburi ila amin ipo siku ccmu mtatafuta pa kutokea swala la muda tu
Wewe kibaka watakuchoma na petrol acha ukibaka haraka sana!
 
Naona unakazana sana kutetea wahalifu na uhalifu .
 
Reactions: UCD
Watu watukutu wapo sana.. lakini serikali yetu bwana ya ajabu sana. Wezi wenyewe wako huko kwenye system. Hao waokota kuku hawana impact
Utakuta polisi anakamata mtuhumiwa anafungwa magereza alafu anatoka 😄
Haya mambo ya kumalizana na majambazi yalianza tokea enzi za geweee hukooo rpc dar

Ova
 
Wewe ni Saddist furaha yako ni kuoma mateso kwa wengine.

Siasa za chuki zimekuuharibu ukiwa bado Kijana. Mzee uspobadilika hifiki mbali.
Siwapendi wahalifu mimi hata siku moja. Sisi kwetu wahalifu huwa wanauwawa kabisa na wananchi
 
Uko eneo gani tuje tukunukishe mapema tu.
 
Hii ndo Tanzania yetu ....Dah 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…