mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Tena bora huyu kakamatwwa watu wameona kuna wengine wana deal nao kimya kimyaTuna vyombo vya dola kwann umteke mtu ? je unaona sawa tuache vyomb vya dola na tuanze tekana? kikubwa tupambane na vyombo ambavyo vinakiuka misingi yao ya kiutumishi , tukicheka cheka soon tunakuwa HAITI , TABIA NI MAZOEA
ANGALIA HUU MWAKA WA UCHAGUZ WALA HAWAJALI KAMA ZAMAN , WANAKATA UMEME MPK MARA 20 kwa siku moja , wameweka kodi ya maji hadi kweny umeme na ukilipia maji wanakata pia kodi yao ya maji , yaan UMEME WA REA tunalipia hata tusiohusika , yaan ccmu kwa sasa hawajali lolote wanaipeleka nchi shimoni na wajinga wachache wakipewa sembe kg 5 wanasahau kesho wanakingia kifua udhalifu wa ccmu
Hawarudi....mkuu kuna watu watukutu bana
Ova