MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kibaka huwa anawapa taarifa ndugu zako akiwa anakupora? Acha kutetea mhalifu. Nenda kamwekee dhamana kituo cha polisi Kibaha.hv ccmu mmelogwa na nan ? huu ufafanuz wamekuja kuutoa , walipaswa kuutoa eneo la tukio na sio kukimbia na mtu na kusubiri video isambae mitandaoni .
Wapo wametona na majibu yao eneo la tukio na hawatakuwa imani na hili jeshi la ccmu , maana wanashika mtu kama wanaenda muua vile .
UNAPOMSHIKA MTU LZM UWE NA GARO LA POLISI KUEPUSHA TAHARUKI KWENY UMMA PILI LZM UTOE UFAFANUZ KWA UMMA TATU LZM UMPE MTU MUDA WA KUJULISHA NDUGU ZAKE
Mkuu Mdusi ume highlight Mambo mazito na muhimu sana.NMEONA NMESHUHUDIA NA NMESHRIKI NLIKUWA MTETEZ WA HUU UJINGA MPK NLIPOSAFIR KWENDA NJE YA NCHI NKAGUNDUA KUNA MAMB TUMEYAFANYIA MAZOEA IKA KIUTUMISHI SIO SAHIHI , ZAMAN NLIKUWA NASHABIKIA UTEKAJI SABAB HUKO NLIKOKULIA NLIAMINISHWA KUWA YEYEOTE AGAINST CCMU NI ADUI ILA BAADAE NLIVYOKUJA KUWA HURU KIAKILI NKAWA NASIKILIZA CCMU NA WENGINE
Ulitaka akamatwaje mtu ambaye alikuwa analeta ubishi na kukataa kabisa kutii amri licha ya kufahamu wazi kuwa wakamataji ni Polisi wetu?Sasa hapa ndio wanathibitisha kuwa Wao ndio wahusika WA Utekaji, huwezi kumkamata MTU Kwa style Ile Ile na "watekaji"!
Kwani ukiwapa taarifa ndugu zake ndio hatakuwa kibaka?Kibaka huwa anawapa taarifa ndugu zako akiwa anakupora? Acha kutetea mhalifu. Nenda kamwekee dhamana kituo cha polisi Kibaha.
Style iliyotumika ni kama ile ya yule bonge kuingizwa kwenye raum, unalizungumziaje hilo?Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.
Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.
Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.
View attachment 3245354
Soma: Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha
KilazaNdugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.
Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.
Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.
View attachment 3245354
Soma: Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha
Matukio yote mawili yalishatolewa ufafanuzi na jeshi letu la Polisi. Kikubwa ni lazima tukemee na kupinga uhalifu kwa. Nguvu zetu zoteStyle iliyotumika ni kama ile ya yule bonge kuingizwa kwenye raum, unalizungumziaje hilo?
Naunga mkono hoja yako. Ndio Maana nikasema yule mhalifu alivyokuwa anasumbua kupanda pale gari. ingekuwa ni mimi ningemfanya akimbilie Mwenyewe kupanda gari.Hao ni wa kifinywa na kupotezwa kimya kimya tu.
Waliokwisha wahi kukumbana na kuathiriwa na hao majambazi watanielewà.
Acha uhuni wewe. Yule mhalifu alionyeshwa vyote na alijua ni polisi lakini alikuwa akigoma kupanda kwa sababu alijua mwisho wake wa uhalifu umefikia tamati.Jeshi la wahuni.
Kwanini wasitoe vitambulisho?
Kwanini wanatumia number plate fake isiyotambulika?
Tumshukuru aliyechukua video hiyo maana bila hivyo matukio ya hao wahuni ni mengi na hili lingepita kimya.
Acha kulialia hapa. Nenda Kibaha kamwekee dhamana.Kwani ukiwapa taarifa ndugu zake ndio hatakuwa kibaka?
Njia hiyo hiyo inatumiwa na watu wasio polisi kuumiza wengine.
Polisi wetu wenye mamlaka wawe na mbinu zaidi iliyo bora.
Zama za ukoloni hizo,raia hana bunduki Wala panga,wao Wana silaha na pingu na mafunzo,lakini mambo yanaenda kienyeji!Is that a way of handling a criminal? Askari anapaswa kufanya kazi kwa weledi na kwa uangalifu sana.
Ukamataji ulifanyika kienyeji bila kuonesha ujuzi wa kitaaluma.
Ilikuwa ni purukushani za kishamba zilizodhaniwa kufanywa na watu wasio na ujuzi wa kazi za kiusalama.
Imagine raia wangeamua kuingilia kati varangati ingekuwaje?
Askari hata akiwa kiraia ( askari kanzu) Kuna picha na ujumbe lazima auneshe na kuutuma kwa hadhira Ili kujibu sintofahamu.
Wajifunze kuwa smart katika kazi zao.
🤣🤣🤣Acha kulialia hapa. Nenda Kibaha kamwekee dhamana.
Tulitetea hata kabla. Principle inabaki pale pale" Ukweli"Mna anza kutetea ujinga baada ya kujua alikuwa mhalifu.
Ninyi mnajua kawatenda vibaya wangapi.
Cheo kinachokufaa kuwa msaidizi wa msigwa! Ngoja uchaguzi upite, maana una propaganda za kuzaliwa.Itabidi ukasomee.Ulitaka abembelezwe?
We mjinga Nini!! Watu wamekuja wamevaa kiraia na hawana vitambulisho utaachakuwa mbishi wkt matukio ya utekaji ndio yameshamiri kila mahali. Akina Soka wa Chadema walichukuliwa kimzaha hivi hivi,wako wapi hadi Sasa!? Mzee Kibao alichukuliwa kwenye bus na mitutu ya bunduki hatima yake ilikuwa nini!?. Jitafakari wewe kubwa jinga!Embu acha utoto wako hapa. Yaani wewe kila siku unaunga mkono uovu tu Utafikiri na wewe ni mhalifu. Kwanini usiulize sababu ya yule wa pikipiki aliyekuwa anakamatwa kutokutii Amri?
Nimeishi brazil huko polisi wa bongo wanasubiri jnsi wanavyo deal na wahalifuDuuh
Wamulize Pdidy wale wezi wa vishandu wanavyowatesa huko mbezi beach nahisi pdidy akisikia hii atafurahiKama ni mwizi wangempiga na risasi moja ya mguu. Hao wezi wa kwenye pikipiki walishawahi kunipora simu iliyokuwa na mambo yangu mengi sana. Ninalipongeza sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri.