Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

hv ccmu mmelogwa na nan ? huu ufafanuz wamekuja kuutoa , walipaswa kuutoa eneo la tukio na sio kukimbia na mtu na kusubiri video isambae mitandaoni .

Wapo wametona na majibu yao eneo la tukio na hawatakuwa imani na hili jeshi la ccmu , maana wanashika mtu kama wanaenda muua vile .

UNAPOMSHIKA MTU LZM UWE NA GARO LA POLISI KUEPUSHA TAHARUKI KWENY UMMA PILI LZM UTOE UFAFANUZ KWA UMMA TATU LZM UMPE MTU MUDA WA KUJULISHA NDUGU ZAKE
Kibaka huwa anawapa taarifa ndugu zako akiwa anakupora? Acha kutetea mhalifu. Nenda kamwekee dhamana kituo cha polisi Kibaha.
 
NMEONA NMESHUHUDIA NA NMESHRIKI NLIKUWA MTETEZ WA HUU UJINGA MPK NLIPOSAFIR KWENDA NJE YA NCHI NKAGUNDUA KUNA MAMB TUMEYAFANYIA MAZOEA IKA KIUTUMISHI SIO SAHIHI , ZAMAN NLIKUWA NASHABIKIA UTEKAJI SABAB HUKO NLIKOKULIA NLIAMINISHWA KUWA YEYEOTE AGAINST CCMU NI ADUI ILA BAADAE NLIVYOKUJA KUWA HURU KIAKILI NKAWA NASIKILIZA CCMU NA WENGINE
Mkuu Mdusi ume highlight Mambo mazito na muhimu sana.

Watanzania kama wafrika wengi tumezaliwa na kukulia ktk Dhiki kubwa sana ya Ukatiri.

VItendo vya utesaji, unyanyasaji vimekuwa ni sehemu ya maisha na vimetufimba macho kabisa kujua kama havifai au la.

Hutashangaa Hakimu Ambaye amesomea mambo ya haki na kufanya research bado anaunga mkono maswala ya unyanyasaji, kunyima watu haki mahakamani na kupokea rushwa na kuumiza wengine.

Ni matokeo ya kufungwa akili na ufahamu, ni giza ya kifikra kabisa.

Hongera wewe uliposafiri nje ya nchi imekusaidia kufinguka na sasa umepata akili na moyo kama wa binadamu.

Kuna wengine karibu wabamaliza mabara yote kwa kutumoa kodi zetu lakini ndio kwanza usingizi wa pono kuhusu Utu, ubinadamu, haki na amani.
 
Sasa hapa ndio wanathibitisha kuwa Wao ndio wahusika WA Utekaji, huwezi kumkamata MTU Kwa style Ile Ile na "watekaji"!
Ulitaka akamatwaje mtu ambaye alikuwa analeta ubishi na kukataa kabisa kutii amri licha ya kufahamu wazi kuwa wakamataji ni Polisi wetu?
 
Kibaka huwa anawapa taarifa ndugu zako akiwa anakupora? Acha kutetea mhalifu. Nenda kamwekee dhamana kituo cha polisi Kibaha.
Kwani ukiwapa taarifa ndugu zake ndio hatakuwa kibaka?
Njia hiyo hiyo inatumiwa na watu wasio polisi kuumiza wengine.

Polisi wetu wenye mamlaka wawe na mbinu zaidi iliyo bora.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.

Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.

Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.

View attachment 3245354

Soma: Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha
Style iliyotumika ni kama ile ya yule bonge kuingizwa kwenye raum, unalizungumziaje hilo?
 
Jeshi la wahuni.

Kwanini wasitoe vitambulisho?

Kwanini wanatumia number plate fake isiyotambulika?

Tumshukuru aliyechukua video hiyo maana bila hivyo matukio ya hao wahuni ni mengi na hili lingepita kimya.
 
Kilaza
 
Style iliyotumika ni kama ile ya yule bonge kuingizwa kwenye raum, unalizungumziaje hilo?
Matukio yote mawili yalishatolewa ufafanuzi na jeshi letu la Polisi. Kikubwa ni lazima tukemee na kupinga uhalifu kwa. Nguvu zetu zote
 
Hao ni wa kifinywa na kupotezwa kimya kimya tu.

Waliokwisha wahi kukumbana na kuathiriwa na hao majambazi watanielewà.
 
Hao ni wa kifinywa na kupotezwa kimya kimya tu.

Waliokwisha wahi kukumbana na kuathiriwa na hao majambazi watanielewà.
Naunga mkono hoja yako. Ndio Maana nikasema yule mhalifu alivyokuwa anasumbua kupanda pale gari. ingekuwa ni mimi ningemfanya akimbilie Mwenyewe kupanda gari.
 
Jeshi la wahuni.

Kwanini wasitoe vitambulisho?

Kwanini wanatumia number plate fake isiyotambulika?

Tumshukuru aliyechukua video hiyo maana bila hivyo matukio ya hao wahuni ni mengi na hili lingepita kimya.
Acha uhuni wewe. Yule mhalifu alionyeshwa vyote na alijua ni polisi lakini alikuwa akigoma kupanda kwa sababu alijua mwisho wake wa uhalifu umefikia tamati.
 
Is that a way of handling a criminal? Askari anapaswa kufanya kazi kwa weledi na kwa uangalifu sana.

Ukamataji ulifanyika kienyeji bila kuonesha ujuzi wa kitaaluma.
Ilikuwa ni purukushani za kishamba zilizodhaniwa kufanywa na watu wasio na ujuzi wa kazi za kiusalama.

Imagine raia wangeamua kuingilia kati varangati ingekuwaje?

Askari hata akiwa kiraia ( askari kanzu) Kuna picha na ujumbe lazima auneshe na kuutuma kwa hadhira Ili kujibu sintofahamu.

Wajifunze kuwa smart katika kazi zao.
Zama za ukoloni hizo,raia hana bunduki Wala panga,wao Wana silaha na pingu na mafunzo,lakini mambo yanaenda kienyeji!
 
Embu acha utoto wako hapa. Yaani wewe kila siku unaunga mkono uovu tu Utafikiri na wewe ni mhalifu. Kwanini usiulize sababu ya yule wa pikipiki aliyekuwa anakamatwa kutokutii Amri?
We mjinga Nini!! Watu wamekuja wamevaa kiraia na hawana vitambulisho utaachakuwa mbishi wkt matukio ya utekaji ndio yameshamiri kila mahali. Akina Soka wa Chadema walichukuliwa kimzaha hivi hivi,wako wapi hadi Sasa!? Mzee Kibao alichukuliwa kwenye bus na mitutu ya bunduki hatima yake ilikuwa nini!?. Jitafakari wewe kubwa jinga!
 
Kama ni mwizi wangempiga na risasi moja ya mguu. Hao wezi wa kwenye pikipiki walishawahi kunipora simu iliyokuwa na mambo yangu mengi sana. Ninalipongeza sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri.
Wamulize Pdidy wale wezi wa vishandu wanavyowatesa huko mbezi beach nahisi pdidy akisikia hii atafurahi

Ova
 
Back
Top Bottom