Hujajibu swali mhalifu ndio anakamatwa hivyo?Tena huyo mhalifu wamemsamehe sana maana alikuwa anakimbia na kukataa kutii amri hata pale alipoonyeshwa vitambulisho vyote. Inatakiwa wamfinye sanaa ili ataje na wenzake na kurudisha vitu alivyoiba kwa watu.
Majambazi yameshika mitutu ya bunduki unasogea una pumbu sita au?Kwani wewe hukuona wananchi wakirudi nyuma kwa hiyari walipoambiwa wasisogelee eneo la tukio?
Choko wewe,angekuwa mhalifu sugu angekuwa nje kwa dhamana??umesikia alichoongea baada ya kuachiwa?shoga wewwNdugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.
Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.
Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.
View attachment 3245354
Soma: Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha
Wewe kidampa hopeless kabisa sikiliza hapa kijana anaeleza mkasa mzima na vile huwa huna internet ya uhakika nakupa summary kuwa hao watu walikuwa wakimfuatilia ili wamgonge sasa ndio ukamataji huo?Tena huyo mhalifu wamemsamehe sana maana alikuwa anakimbia na kukataa kutii amri hata pale alipoonyeshwa vitambulisho vyote. Inatakiwa wamfinye sanaa ili ataje na wenzake na kurudisha vitu alivyoiba kwa watu.
Nakuunga mkono kabisa.Ni rahisi kwa mpumbavu kukurupuka na kulaumu jeshi la polisi kwa kuwa uhalifu huu haujamgusa yeye binafsi au familia, lakini mwenye hekima angeweza pengine kulishukuru jeshi la Polisi kwa majukumu wanayoyafanya kupamabana na uhalifu nchini.
Ule uharifu wa Dodoma unauona mdogo ?Acha uhalifu kama wewe ni mhalifu.
Hatukubali utekaji but wengi ni watu wa matukio ule wake za watu,uibe mali za watu unaachalwaje hai kwa mfano unajua madhara ya hivyo vitendoHuna akili wewe dada, hakuna anayesema wahalifu wasikamatwe tuna hoji kwanini wakikamata mtu wasitoe taarifa kwa uongozi wa mtaa au kwa watu waliokuwa karibu? huna maana kabisa. Husikii matukio ya utekaji? jinga sn ww mama
Huyo hawezi kuelewa madhara ya uhalifu maana hata yeye mwenyewe haaminiki.Hatukubali utekaji but wengi ni watu wa matukio ule wake za watu,uibe mali za watu unaachalwaje hai kwa mfano unajua madhara ya hivyo vitendo
Jee ni mhalifu au ni mtuhumiwa tu?Wewe kidampa hopeless kabisa sikiliza hapa kijana anaeleza mkasa mzima na vile huwa huna internet ya uhakika nakupa summary kuwa hao watu walikuwa wakimfuatilia ili wamgonge sasa ndio ukamataji huo?
Hata licha ya kuwa wamemkamata wamempiga akiwa ndani ya gari hadi alipofikishwa kituoni wameendelea kumpiga , sasa huo ndio utaratibu wa wapi kumpiga mtu aliyefungwa pingu?
View: https://youtu.be/4upFAaJHGvg
AU na wewe ni kati yao hao polisi wasio na weredi?Wapi alitekwa?
Huyo bado ni mtuhumiwa.Jee ni mhalifu au ni mtuhumiwa tu?
Mtihani mzito
Kuna pande mbili mfano wewe wakiliJee ni mhalifu au ni mtuhumiwa tu?
Mtihani mzito
Soka yuko wapiKwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.
Sijui.Soka yuko wapi
Mkuu naona leo wew na Lucas M mmekuwa ndege wafananao. Nkwel hatuwez fanan mawazo lakin mjitahid msiwe mnasaliti mnachokiamin mioyon mwenu, otherwise uelewa wenu ndo huohuo wa comments zenu.Tii Sheria bila shuruti mambo kama haya hayakupati,uibe,uibe wake za watu unategemea nini