Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

Kwani ametekwa au amekamatwa kwa jinsi alivyonatabia ya kuwaibia watz kikibaka!
 
Asante Bonifas Mwabukusi Kanjunjumele Adv mwenye heshima.zake.

Bod boda ambaye hana hata jiwe mkononi anakamatwa vile🤣🤣
 
wanaipuuza na wajinga kama Mwashambwa anatetea
 
kwann jeshi litumie gari la kiraia ? huo ulikuwa utekaj , kemea utekaj kabla hujawa muhanga , hiz tabia zikishamili hatutaweza tena kuzitokomeza , hata Libyia walianzia huku huku
Kwani wapelelezi wanatumia magari ya aina gani? Mimi siyo kibaka hivyo siwezi kukamatwa kama kibaka.
 
Asante Bonifas Mwabukusi Kanjunjumele Adv mwenye heshima.zake.

Bod boda ambaye hana hata jiwe mkononi anakamatwa vile🤣🤣
Amekamatwa kistaarabu sana na kwa huruma kubwa sana. Maana ningekuwa ni mimi ndiye polisi.yule mhalifu angekimbia halaka sana kupanda gari na kuomba kufikishwa polisi Mwenyewe
 
Hao si vishandu wanapora wanakaba....
Wapo wengi tishio tu mitaani na tunaishi nao wanapiga watu mapanga nk

Ova
 
Mimi ningekuwa jirani ningeligonga hiyo gari yao halafu tuone wangeondokaje!
Unao uwezo huo? Au kwa kuwa uko nyuma ya keyboard na umekaa sebuleni kwa mume wa dada yako!!
 
Acha uhalifu mara moja kama wewe ni Mhalifu.
tetea watekaji wenzio ipo siku tutawatia viberiti , usione watu wapo kimya ila ukimya ni mbaya sana , jitie kiburi ila amin ipo siku ccmu mtatafuta pa kutokea swala la muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…