ukamataj kwa kutumia gari la kiraia, walipaswa kutiwa kiberiti hao polisKwa ukamataji huu basi mafunzo kwa polisi wetu ni zero! Mitaala ya mafunzo ya polisi yapitiwe upya na wakufunzi wachunguzwe elimu zao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukamataj kwa kutumia gari la kiraia, walipaswa kutiwa kiberiti hao polisKwa ukamataji huu basi mafunzo kwa polisi wetu ni zero! Mitaala ya mafunzo ya polisi yapitiwe upya na wakufunzi wachunguzwe elimu zao!
Acha uhalifu mara moja kama wewe ni Mhalifu.Kwa ukamataji huu basi mafunzo kwa polisi wetu ni zero! Mitaala ya mafunzo ya polisi yapitiwe upya na wakufunzi wachunguzwe elimu zao!
Sasa wewe endelea na uhalifu wako.ukamataj kwa kutumia gari la kiraia, walipaswa kutiwa kiberiti hao polis
Kwani ametekwa au amekamatwa kwa jinsi alivyonatabia ya kuwaibia watz kikibaka!Tuna vyombo vya dola kwann umteke mtu ? je unaona sawa tuache vyomb vya dola na tuanze tekana? kikubwa tupambane na vyombo ambavyo vinakiuka misingi yao ya kiutumishi , tukicheka cheka soon tunakuwa HAITI , TABIA NI MAZOEA
ANGALIA HUU MWAKA WA UCHAGUZ WALA HAWAJALI KAMA ZAMAN , WANAKATA UMEME MPK MARA 20 kwa siku moja , wameweka kodi ya maji hadi kweny umeme na ukilipia maji wanakata pia kodi yao ya maji , yaan UMEME WA REA tunalipia hata tusiohusika , yaan ccmu kwa sasa hawajali lolote wanaipeleka nchi shimoni na wajinga wachache wakipewa sembe kg 5 wanasahau kesho wanakingia kifua udhalifu wa ccmu
Asante Bonifas Mwabukusi Kanjunjumele Adv mwenye heshima.zake.Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.
Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.
Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.
View attachment 3245354
Soma: Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha
Watekaji nao huwa wanatembea na Gari gani? Noah nyeusi Alphard nyeusiKwani makachelo hutembea na gari za aina gani?
Hata wale wakamataji wa Kiluvya walikuja hivyo hivyo.Sasa wewe endelea na uhalifu wako.
wanaipuuza na wajinga kama Mwashambwa anateteaMwashambwa, siyo kila kitu kinahitaji mihemuko. Namna mbaya ya utendaji kazi wa polisi, unayaweka hatarini hata maisha ya askari wenyewe. Hivi kuna ugumu gani kwa askari baada ya kumkamata na kumdhibiti mtuhumiwa, kiongozi wa operation kujitambulisha rasmi kwa watu waliopo, kwa kutaja jina lake, kuonesha kitambulisho chake, sehemu ambayo mtuhumiwa anapelekwa, na mtuhumiwa kupewa nafasi ya kuwajulisha jamaa zake wa karibu, kama mwongozo wa jeshi la polisi, unavyotaka?
Namna hii mbaya ya utendaji kazi wa polisi, kuna siku italeta maafa. Miongozo ya utendaji kazi ipo, lakini wanaipuuza.
Kwani wapelelezi wanatumia magari ya aina gani? Mimi siyo kibaka hivyo siwezi kukamatwa kama kibaka.kwann jeshi litumie gari la kiraia ? huo ulikuwa utekaj , kemea utekaj kabla hujawa muhanga , hiz tabia zikishamili hatutaweza tena kuzitokomeza , hata Libyia walianzia huku huku
Amekamatwa kistaarabu sana na kwa huruma kubwa sana. Maana ningekuwa ni mimi ndiye polisi.yule mhalifu angekimbia halaka sana kupanda gari na kuomba kufikishwa polisi MwenyeweAsante Bonifas Mwabukusi Kanjunjumele Adv mwenye heshima.zake.
Bod boda ambaye hana hata jiwe mkononi anakamatwa vile🤣🤣
Mimi ningekuwa jirani ningeligonga hiyo gari yao halafu tuone wangeondokaje!ukamataj kwa kutumia gari la kiraia, walipaswa kutiwa kiberiti hao polis
Hayo ndio magari ya hapa mjiniWatekaji nao huwa wanatembea na Gari gani? Noah nyeusi Alphard nyeusi
Hao si vishandu wanapora wanakaba....hv kwa matukio ya miaka hii 2 bado unakamata mtu namna ile ? hv ni kwel huyu boda boda ni tishio kias cha kumshika na mitutu ? mtu anaeomba msaada kwa raia ? Mzee kibao walimshika na mitutu tulipokaa kimya alikutwa wap ? hv hawa unawatetea wameua zaid ya watu 100 kweny mwaka uliopita ,unapata wap uhalali wa kushabikia namna hiyo ya ukamataj ? hv chuo cha polisi wanafundishwa nn ? mbona ukamataj huu haufanan na mtu aliyeend kozi za kijeshi , uvaaji pia ni kama panya road , watu wanafika 200 tangu mwaka 2023 hawajulikan walipo , Mdude wa chadema alishikwa hv hv na hatukujuwa alipo na hata kituo waliwekwa wenzio hadi kituo cha mkoa hakwepo , walienda mficha walipoona watu wamechachamaa ndo wakamuachia
TUTATETEA UTEKAJI NA MAUAJI MPK LINI ? AU MPK WW UWE MUHANGA NDO UTAELEWA TUNACHOPIGIA KELELE ?
Mhalifu ni mhalifu tu na hapaswi kubembelezwa.wanaipuuza na wajinga kama Mwashambwa anatetea
Yaani siku hizi ni ngumu sana kumjua mtekaji na Polisi.Watekaji nao huwa wanatembea na Gari gani? Noah nyeusi Alphard nyeusi
Mngeanza na mafisadi kwanza humo kwenye chama chenu🤣🤣Mhalifu ni mhalifu tu na hapaswi kubembelezwa.
Ningekushangaa kama usingekuwa Mwehu!Acha uhalifu mara moja kama wewe ni Mhalifu.
Unao uwezo huo? Au kwa kuwa uko nyuma ya keyboard na umekaa sebuleni kwa mume wa dada yako!!Mimi ningekuwa jirani ningeligonga hiyo gari yao halafu tuone wangeondokaje!
tetea watekaji wenzio ipo siku tutawatia viberiti , usione watu wapo kimya ila ukimya ni mbaya sana , jitie kiburi ila amin ipo siku ccmu mtatafuta pa kutokea swala la muda tuAcha uhalifu mara moja kama wewe ni Mhalifu.