Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

Ndugu zangu Watanzania,

Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.

Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.

Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa rasmi.

View attachment 3245354

Soma: Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha
Umekua Davidi Misime Nguchiro wewe, wale wajamaa waliotaka kumteka Deo Bonge ufafanuzi umetolewa mpaka Leo?
Wale jamaa walivyovaa unaweza kuwaita polisi au majambazi! Ethical standards za polisi zinasemaji kuhusu uvaaji na arrest procedures!
Wewe ni a waste sperm
 
Siyo utekaji ni ukamataji. Ila mtuhumiwa alikuwa analeta ubishi tu.
Ulikuepo field, lini polisi wakaaminika, okay unasema sio utekaji ni ukamataji tu, means unajua utekaji pia unafanyikaje na ukamataji unafanyikaje! Polisi ni wachafu hawasafishiki!
Kama mpaka Leo La Abdul Nondo halina taarifa itakua la Kibao ambalo mama Ako alisema aletewe taarifa haraka baada ya muda anaibuka kifo ni kifo tu!?
 
Is that a way of handling a criminal? Askari anapaswa kufanya kazi kwa weledi na kwa uangalifu sana.

Ukamataji ulifanyika kienyeji bila kuonesha ujuzi wa kitaaluma.
Ilikuwa ni purukushani za kishamba zilizodhaniwa kufanywa na watu wasio na ujuzi wa kazi za kiusalama.

Imagine raia wangeamua kuingilia kati varangati ingekuwaje?

Askari hata akiwa kiraia ( askari kanzu) Kuna picha na ujumbe lazima auneshe na kuutuma kwa hadhira Ili kujibu sintofahamu.

Wajifunze kuwa smart katika kazi zao.
Upo sahihi
 
Dhamira ni kumkamata ila yeye kwa sababu alikuwa anajua uhalifu wake ndio maana akawa analeta ubishi wa kujifanya kukataa kubebwa.
Ulikua eneo la tukio au umekua sehemu ya haja kubwa kutolea kilichomiezwa, Yani alichomeza Misime wewe Ndio unatoka? Umeshakua spokesperson wa polisi Tanzania, kikundi Cha wahalifu ndani ya sare na crown?
 
Ulikuepo field, lini polisi wakaaminika, okay unasema sio utekaji ni ukamataji tu, means unajua utekaji pia unafanyikaje na ukamataji unafanyikaje! Polisi ni wachafu hawasafishiki!
Kama mpaka Leo La Abdul Nondo halina taarifa itakua la Kibao ambalo mama Ako alisema aletewe taarifa haraka baada ya muda anaibuka kifo ni kifo tu!?
Hivi wewe na akili zako Timamu unaweza vipi amini hadithi za Abdul NONDO?😄😄
 
Lack of professionalism.

Je walifikiria pia kuhusu Image wanayoiacha kwa jamii na je wananchi wangeingilia kati si wangesababisha athari hasi .

We need smartness in everything we do
 
Umekua Davidi Misime Nguchiro wewe, wale wajamaa waliotaka kumteka Deo Bonge ufafanuzi umetolewa mpaka Leo?
Wale jamaa walivyovaa unaweza kuwaita polisi au majambazi! Ethical standards za polisi zinasemaji kuhusu uvaaji na arrest procedures!
Wewe ni a waste sperm
Ndio ufafanuzi ulishatolewa na watuhumiwa wapo ndani huko. Sema labda ulipitwa na habari hiyo au una matatizo ya kutunza kumbukumbu
 
Lack of professionalism.

Je walifikiria pia kuhusu Image wanayoiacha kwa jamii na je wananchi wangeingilia kati si wangesababisha athari hasi .

We need smartness in everything we do
Ndio maana wananchi walikatazwa kuingilia kati . Na wananchi wakatii Amri bila shuruti
 
Ndio maana wananchi walikatazwa kuingilia kati . Na wananchi wakatii Amri bila shuruti
We're you in the crime scene! Unamuitaje mtu mhalifu wakati mahakama haijathibitisha? Umeshakua sehemu ya impunity inayoendelea nchini na unataka kufanya normalization!
Wananchi wamekuambia kwamba walitii amri za wauaji na watekaji! Au mmesahau ya tegeta?
 
Siyo Polisi wote wanaokuwa katika unifom .wengine hawavai kwa ajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za kipolisi kufanyika kwa mafanikio
Nalijua hilo ila kwa hali ya sasa, kufanya km walivyofanya, ni kuhatarisha maisha yao. Ndo maan nikasema km ingekuwa usku na akapiga kelele za kutekwa, sasa hivi tungekuwa tunaonngea mengine.

Na hawa vibaka nao wamezidi, ni watu wa hovyo na hatari sn. Km askari hata mmoja angekuwa na uniform hakuna ambae angehoji, zaidi ya kusema wangemchoma moto kabisa. Hao vibaka ni ibilisi walioshindikana.
 
We're you in the crime scene! Unamuitaje mtu mhalifu wakati mahakama haijathibitisha? Umeshakua sehemu ya impunity inayoendelea nchini na unataka kufanya normalization!
Wananchi wamekuambia kwamba walitii amri za wauaji na watekaji! Au mmesahau ya tegeta?
Kwani wewe hukuona wananchi wakirudi nyuma kwa hiyari walipoambiwa wasisogelee eneo la tukio?
 
Back
Top Bottom