Jf nzma wew no mpmbavyWOTE KOLOKOLONI.
ALIYEBAKWA KOLOKOLONI KOSA KUTEMBEA NA MUME WA MTU, TUACHE DABO STANDARD.
MUME ALIYETOKA NJE YA NDOA AKAKAMATWA UGONI NAE KOLOKOLONI KOSA KUKAMATWA UGONI
ALIYEWAKODI WABAKAJI KOLOKOLONI KOSA, KUWEZESHA TUKIO LA UBAKAJI KUTENDEKA
WALIOMBAKA WOTE KOLOKOLONI KOSA LA UBAKAJI
We ndo mshenzi wa washenzi usiojua sheriaJf nzma wew no mpmbavy
Kituko yaani!.HII NCHI BHANA
Hapo Samia kafanya nini ndugu yangu?Acheni ujuaji raia, jeshi la polisi lipo vizuri kama huamini fanya uhalifu kimbia uone,
Mnaowatetea waliosambaza video mmeshindwa kujiuliza swali rahisi sana, video waliipata wapi hadi waanze kuisambaza? hapo ndipo polisi walipoanzia, hongera jeshi la polisi, hongera Mama Samia, tunaitaka Tanzania ya Amani.
Ndie Jemedari mkuuHapo Samia kafanya nini ndugu yangu?
Eti.kutoka may huko.sijui wamewashwa na nini kuzisambazaTukio kumbe ni la Mei😥 au sijasoma vizuri.
Na lilifanyika Dodoma Swaswa. Kumbe! Au walikua ni majirani Sema walikua Uchi Siwatambui kabisa.
Ifikie hatua ujitambue, Mwanaume mpambe ni dhaifu sana kuliko hata yule mhisani.Ndie Jemedari mkuu
Uenda hakusema,aliogopa mimi naona polisi wapo sahih. Asingeweza kusema alikaa na maumivu yake na stress zake.mpaka SIKU ILIPOFIKA ya kupata haki yake ilipofika.Dunia ngumu sana hii
Kwa mujibu wa taarifa Tukio limetokea mwezi wa Tano, hapo hapo tunaambiwa binti yupo sehemu kahifadhiwa akipatiwa matibabu.
Kabakwa zaidi ya miezi miwili iliyopita matibabu anapata kipindi hiki.
Hii ngumu kumeza
Sasa halipendi?Jeshi la Polisi lingependa kutoa onyo kwa baadhi ya watu ambao hawana mamlaka ya kufanya hivyo
Polisi wanaogopa kipigo si unawajua JW?MTUHUMIA NAMBA MOJA NI AFANDE WA KIKE ALIYEWATUMA, HUYO HAWEZI KUKIMBIA MKAMATENI NA YEYE ACHENI DOUBLE STANDARDs.
sambamba na kuwasaka watuhumiwa wawili ambao bado wamejificha ili wafikishwe mahakamani. Kwa hawa ambao bado wamejificha kama kuna yeyote anayefahamu wamejificha kwake atoe taarifa na asipofanya hivyo wakikamatwa wakiwa nyumbani au kwenye makazi yake atakamatwa na kufikishwa Mahakamani.
Unaumia rais wako kusifiwa!Ifikie hatua ujitambue, Mwanaume mpambe ni dhaifu sana kuliko hata yule mhisani.
Dunia sio ngumu ni wewe tu kichwa chako kigumu, binti alifanyiwa ukatili akaishi na maumivu hadi pale wajinga wenyewe walipovujisha video, binti katafutwa kapatikana amehifadhiwa sehem salama na kupatiwa matibabu ya kisaikolojia,Dunia ngumu sana hii
Kwa mujibu wa taarifa Tukio limetokea mwezi wa Tano, hapo hapo tunaambiwa binti yupo sehemu kahifadhiwa akipatiwa matibabu.
Kabakwa zaidi ya miezi miwili iliyopita matibabu anapata kipindi hiki.
Hii ngumu kumeza
mimi nafsi haitaridhika mpaka akamatwe huyo Kapteni aliyewatuma hao vidagaa. Bila hivyo bado ni udhaifu mkubwa na janja ya nyani. na tunataka uwazi wapandishwe mahakamani na sura zao zianikwe tuwaone.Acheni ujuaji raia, jeshi la polisi lipo vizuri kama huamini fanya uhalifu kimbia uone,
Mnaowatetea waliosambaza video mmeshindwa kujiuliza swali rahisi sana, video waliipata wapi hadi waanze kuisambaza? hapo ndipo polisi walipoanzia, hongera jeshi la polisi, hongera Mama Samia, tunaitaka Tanzania ya Amani.
Asante sana mkuuDunia sio ngumu ni wewe tu kichwa chako kigumu, binti alifanyiwa ukatili akaishi na maumivu hadi pale wajinga wenyewe walipovujisha video, binti katafutwa kapatikana amehifadhiwa sehem salama na kupatiwa matibabu ya kisaikolojia,
Hilo nalo ni gumu kuelewa kweli!