Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama

Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama

Inawezekana tukio lilifanyika huko nyuma. Na eneo pia lilikuwa ni dodoma? sio Dar es salaam, yombo dovya?
Au labda mimi ndio sielewi, ni tukio lilifanyika Yombo Dovya au binti ndio anaishi Yombo Dovya?

Halafu kwani haiwezekani mtu kufanyiwa tukio eneo la mbali na kwao?

Tuliache Jeshi la Polisi lifanye kazi yake jamani
 
Dodoma panamichezo michafu sana sema ndo ivyo vitu vinafanyika sirini.

Mabinti wadogo wanafanya vitu vya ajabu.

Nilivyosikia tukio limefanyika dodoma wala sikushtuka
 
Ndo mbinu ya kutembeza uzi au?

Ngoja tuone kama watakuuliza ili uwajibu nusu nusu ukitegemea kuulizwa tena.

Namaanisha, weka taarifa kamili tuelewe.
 
Jeshi la Polisi Tanzania limewakamata Watuhumiwa wanne kati ya sita ambao walipanga na kutekeleza uhalifu wa kumbaka na kumlawiti Msichana na kusambaza video yake mitandaoni ambapo imebainika tukio lilifanyika Swaswa Dodoma mwezi May 2024.

Taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime aliyoitoa leo August 09,2024 imesema “Watuhumiwa hao wamekamatwa Mkoani Dodoma na Mkoa wa Pwani ambao ni Clinton Honest Damas kwa jina maarufu Nyundo, Praygod Edwin Mushi, Amini Lord Lema na Nickson Idala Jakson”

“Uchunguzi unaendelea kukamilishwa sambamba na kuwasaka Watuhumiwa wawili ambao bado wamejificha ili wafikishwe Mahakamani,
kwa hawa ambao bado wamejificha kama kuna yeyote anayefahamu wamejificha kwake atoe taarifa na asipofanya hivyo wakikamatwa wakiwa nyumbani au kwenye makazi yake atakamatwa na kufikishwa Mahakamani”
View attachment 3065469
 
MTUHUMIA NAMBA MOJA NI AFANDE WA KIKE ALIYEWATUMA, HUYO HAWEZI KUKIMBIA MKAMATENI NA YEYE ACHENI DOUBLE STANDARDs.
WOTE KOLOKOLONI.

ALIYEBAKWA KOLOKOLONI KOSA KUTEMBEA NA MUME WA MTU, TUACHE DABO STANDARD.

MUME ALIYETOKA NJE YA NDOA AKAKAMATWA UGONI NAE KOLOKOLONI KOSA KUKAMATWA UGONI

ALIYEWAKODI WABAKAJI KOLOKOLONI KOSA, KUWEZESHA TUKIO LA UBAKAJI KUTENDEKA

WALIOMBAKA WOTE KOLOKOLONI KOSA LA UBAKAJI
 
Hili jeshi la polisi sio poa kwa kukamata watu! Ww jifanye tu invincible utajikuta kituo cha polisi hutaamini.
Halafu inaonekana wale wendawazimu wamepanda mtumbwi wa vibwengo hadi majina yao yametajwa sio kawaida hapa naona watu wakila 50+ years in prison
Umeandika kweli, mtu ajichakate kufanya uhalifu, watakipata tu hata ujichimbie wapi
 
WOTE KOLOKOLONI.

ALIYEBAKWA KOLOKOLONI KOSA KUTEMBEA NA MUME WA MTU, TUACHE DABO STANDARD.

MUME ALIYETOKA NJE YA NDOA AKAKAMATWA UGONI NAE KOLOKOLONI KOSA KUKAMATWA UGONI

ALIYEWAKODI WABAKAJI KOLOKOLONI KOSA, KUWEZESHA TUKIO LA UBAKAJI KUTENDEKA

WALIOMBAKA WOTE KOLOKOLONI KOSA LA UBAKAJI
Je Kuna ushahidi Gani kama alitembea na mume wa mtu?? Na je kama mwanaume alimdanganya Hana mke?
 
Hebu soma hii kitu ndugu zangu do!!...

"Jeshi la Polisi lingependa kutoa onyo kwa baadhi ya watu ambao hawana mamlaka ya kufanya hivyo waache tabia ya kwenda kwenye eneo ambalo lilitajwa kuwa huyo binti anaishi wakimtafuta yeye na familia yake ili wawahoji au kuwaona. Kufanya vitendo vya aina hiyo ni kuwatweza utu wao na kuwatonesha majeraha waliyonayo mioyoni mwao".
HII NCHI BHANA
 
Hili jeshi la polisi sio poa kwa kukamata watu! Ww jifanye tu invincible utajikuta kituo cha polisi hutaamini.
Halafu inaonekana wale wendawazimu wamepanda mtumbwi wa vibwengo hadi majina yao yametajwa sio kawaida hapa naona watu wakila 50+ years in prison
Mbona hawataji kukamatwa kwa afande? Hawawezi kufungwa hao kama unabisha tuwekeane milion 2 kwa milion 2
 
Back
Top Bottom