Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ulitaka achukue hatua saa ngapi? Ye si bingwa wa kutema cheche kwa lile domo pana Kama kinda la ndege hadi linatoa ute mweupe mdomboni? Ulitaka hatua ichukuliwe baada ya mda gani ili press iendelee?? Vipi hamuendi kukinukisha kwa maandamano? Tunataka hatua sasa nyie shwaini.
 
Hivi hapo na malaya wa Kimboka Buguruni mna tofauti gani? Shukuru jf hata majuha mnapewa platform muonyeshe ujuha wenu
 
Mkuu, na wewe ni miongoni wa Expert Members!
 
Wakati wanatifuana Polisi CCM ilikuwa haina shida na press conference zao ahta zingefanyika kila saa maana walikuwa wanafurahi kuwa zinaua chama. Sasa wamemaliza kutifuana sasa press conference zao hawazitaki tena.
Umenena vema.
 
Amevunja sheria gani ya nchi?
 
Jana CCM yule zinjathropis na makala wa CCM walifanya mkutano wao mnazi mmoja mbona polisi hawakuenda kuuzuia?
 
Is this all?
Ila wee jamaa una ujinga nwingi sana. Sisi tulikubali kuwa Mbowe akishinda tungejikalia kimya tumuachie Chadema ila uchaguzi ulivyokuwa huru hata Mbowe angeshinda tusingemsimanga ila tungekubali yaishe. Wewe naona umejaa gubu sana. Ulitaka Lissu ashindwe au ulitaka asigombee? Kwani aliiba kura? Mbona gubu sana wewe?
 
Mimi ni Mwanachadema ila hii waliyofanya akina Mnyiaka sio sawa.

Je anaongelea jambo la Dharura
 
Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha foolishness. Hiyo press conference itaathiri vipi huo mkutano wa M300?
 
mbona rahisi tu, wanatumia vyombo vyao, wanarekodi wanarusha mtandaoni bila hata kuwaita waandishi. mengine waandishi wapige simu tu afafanue. hatuhitaji kugombana na polisi kwenye mambo ambayo majibu au solution tunazo. alternative mbona ipo?
 
Lissu kamtukana sana Mbowe kuwa alikua legelege na mlamba asali…. Kapanua sana domo kuonesha wenzie hawakua chochote CDM so ni zamu yake kuonesha umwamba!!
Aisee.

Hili andiko limejaa hasira.

Kapanua Sana domo...

Sasa Lissu alikuwa anasema Polisi wakizuia mkutano atalazimisha ufanyike?

Au Lissu alikuwa anazungumzia maridhiano yasiyojulikana tunaridhiana nini?

Unaweza kutuambia CHADEMA walitaka CCM waridhie nini na CCM nao walitaka CHADEMA nao pia waridhie nini ili nini kitokee!?

Hizi hasira dhidi ya ushindi wa Lissu na maombi yenu kutaka asifanikiwe kuiongoza CHADEMA chanzo chake ni nini au CHADEMA itafaidika vipi na hizi chuki zenu Kwa Lissu?

Hivi angeshinda Mbowe ungefurahi Mbowe asakamwe na waliokuwa wanamuunga mkono Lissu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…