Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu yupo atawakemea watanywea maana Ana mdomo mpana!!
Mbowe alikuwa mshenzi sana na legelege kupindukia.
Lissu ni kiboko wa CCM akifika hapo makao makuu Polisi watatimua mbio.
 
Akili zenyewe mnazo,hamkawii kukurupuka na maandamano!
Utakuwa na matatizo ya afya ya akili, mkutano wa ndani katibu mkuu na waandishi wa habari nani sasa atakurupuka aanze maandamano, waandishi wa habari au Mnyika? Au hujakunywa dawa zako?
 
Ni ujinga mtupu hawana kazi za kufanya ambazo ni kuwalinda raia na mali zao.

Au huo mkutano wa nishati ndio wanafikiri ni kipaumbele kwa kila mtu kuangalia au kusikiliza.?
 
R.I.P Magufuli ulisingiziwa mengi
Hakusingiziwa yeye ndiye muanzilishi wa upuuzi wa ukandamizaji. Na asirestishwe in peace abebeshwe matofali arushwe kichurachura huko.
Kumbangua risasi ya kichwa Ben Saanane unaona sawa?
 
Ni kama vile huo mkutano inabidi shughuli nyingine zote zisimame sijui na kwingine kunakwua hivi. Mfano kama kuna mkutano wa baraza kuu la UN pale newyork kiila jambo huwa linasimama?
Huu ujinga upo bongo tu
 
Wewe uliyekuwa na hiyo elimu imekufikisha wapi? Mimi nakuona boya tu. Ulitaka watu wote tuwe majasusi,pumbavu.
Imenifikisha sehem ambayo naelewa kwann press inazuiliwa hivyo imenisaidia kweny uelewa wa mambo. Sasa kama unakiri hauna hio elimu usibishe weny elimu tukiktoa darasa unatakiwa ukae chini utusikilize sio unakuja na mihemko na matusi.
 
Mkutano wa hicho wanachokiita Nishati safi na mkutano wa CHADEMA inaingiliana vipi!
 
Kweli jeshi linajitaji vijana wa Kisasa,yaani taarifa ya siku nzima iwe ni nishati tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…