Jana mbona zinjathropis na makala wa CCM walifanya mkutano?Mnyika aache ujinga Nchi ina ugeni mkubwa 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana mbona zinjathropis na makala wa CCM walifanya mkutano?Mnyika aache ujinga Nchi ina ugeni mkubwa 😂
Ahsante kwa ushauri.Kumbukeni kutumia zana!!
Mbowe alikuwa mshenzi sana na legelege kupindukia.Lissu yupo atawakemea watanywea maana Ana mdomo mpana!!
Utakuwa na matatizo ya afya ya akili, mkutano wa ndani katibu mkuu na waandishi wa habari nani sasa atakurupuka aanze maandamano, waandishi wa habari au Mnyika? Au hujakunywa dawa zako?Akili zenyewe mnazo,hamkawii kukurupuka na maandamano!
Lissu ni kiboko yao subiri utasikia habari yake si kama Mbowe alikuwa legelege sana.Hili siyo jeshi ni genge la vibaka
CCM ni wagumba wa fikraShida nini?
Aibu kubwa snLissu ni kiboko yao subiri utasikia habari yake si kama Mbowe alikuwa legelege sana.
Wewe uliyekuwa na hiyo elimu imekufikisha wapi? Mimi nakuona boya tu. Ulitaka watu wote tuwe majasusi,pumbavu. Ujasusi mnaojua ni kuratibu wizi wa kura tu.Hauna elimu ya usalama na ujasusi hivyo sina muda wa kubishana na brainless person. GO JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala YOURSELF
Ukija mkutano mwingine tena mambo yanasimama pia. Kwa hali hii tutaendelea kuwafikia China hata % 0.1 kweli.Mkutano wa nishati umesimamisha kila jambo!
Hakusingiziwa yeye ndiye muanzilishi wa upuuzi wa ukandamizaji. Na asirestishwe in peace abebeshwe matofali arushwe kichurachura huko.R.I.P Magufuli ulisingiziwa mengi
Huu ujinga upo bongo tuNi kama vile huo mkutano inabidi shughuli nyingine zote zisimame sijui na kwingine kunakwua hivi. Mfano kama kuna mkutano wa baraza kuu la UN pale newyork kiila jambo huwa linasimama?
Imenifikisha sehem ambayo naelewa kwann press inazuiliwa hivyo imenisaidia kweny uelewa wa mambo. Sasa kama unakiri hauna hio elimu usibishe weny elimu tukiktoa darasa unatakiwa ukae chini utusikilize sio unakuja na mihemko na matusi.Wewe uliyekuwa na hiyo elimu imekufikisha wapi? Mimi nakuona boya tu. Ulitaka watu wote tuwe majasusi,pumbavu.
Bad looserLisu si yupo, na afanye mshike mshike polisi waondoke
Na mimi nilitarajia afanye hivyoLisu si yupo, na afanye mshike mshike polisi waondoke
Kweli jeshi linajitaji vijana wa Kisasa,yaani taarifa ya siku nzima iwe ni nishati tuu!Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
View attachment 3215428
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
View attachment 3215487
Pia, Soma: Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika kuongea na Waadishi wa Habari Makao Makuu ya Chama, Mikocheni
Wewe kweli seti tupu umeshindwa kusoma between the lines ukajua nini anamaanisha?utoto wa chadema wakkuwa watakujaga kuacha huo upuuzi