Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe alikuwa mshenzi sana na legelege kupindukia.
Lissu ni kiboko wa CCM akifika hapo makao makuu Polisi watatimua mbio.
Hizi kejeli hasisaidii. Kama Mbowe alishindwa Lissu atawezaje?

Jee kushindwa Kwa Mbowe kulileta faida gani kama kulivyo kushindwa Kwa Lissu kupambana na Polisi kutaleta faida gani kwa CHADEMA?

Yaani Kwa kuwa tu ulikuwa unampinga Lissu Leo matendo ya polisi dhidi ya CHADEMA unayashangilia?

Kumbe kuna watu wengi tu ndani ya hivi vyama wapo Kwa maslahi yao kiasi kwamba maslahi yao yakiondoka wanakuwa maadui wa taasisi walivyokuwa wanasema wanaiunga mkono.

Inasikitisha sana
 
Mbona kama hakuna uhusiano wa mkutano wa marais wa Africa na press ya Chadema? Anyway, mambo ya intelligence labda hatuwezi kujua sana.
Tuache kufikiri huu uonevu wa kisiasa ni intelligence, zaidi sana ni ignorance.
 
Chairman Yuko wapi? Jamaa walikuwa wanataka kiki?
 
Huu ni ushenzi wa Wassira kutuma polisi
Hili zee bado akili iko enzi ya nyerere....
 
Imenifikisha sehem ambayo naelewa kwann press inazuiliwa hivyo imenisaidia kweny uelewa wa mambo. Sasa kama unakiri hauna hio elimu usibishe weny elimu tukiktoa darasa unatakiwa ukae chini utusikilize sio unakuja na mihemko na matusi.
Huna uwezo wa kunipa darasa,kilichofanyika ni woga tu wa CCM. Press ya Katibu mkuu wa Chadema haiwezi ku jeopardise usalama wa nchi,hizo cheap propaganda waambie watoto wadogo. Tumewazoea kutumia polisi kuhujumu shughuli za kisiasa za wapinzani.
 
Chadema mna gubu sana.



Wenzenu wana shughuli yao nyie mnataka kuwavurugia.

kama wanawake wa kiswahili vile.

Mwenzako ana harusi yake, wewe unawasha radio kwa sauti ya juu nyimbo za taarab.
 
Mbowe alikuwa mshenzi sana na legelege kupindukia.
Lissu ni kiboko wa CCM akifika hapo makao makuu Polisi watatimua mbio.
Na lile tumbo lake soon atakimbilia ubelgiji hao mbwa wake watatia akili.
 
Lissu kamtukana sana Mbowe kuwa alikua legelege na mlamba asali…. Kapanua sana domo kuonesha wenzie hawakua chochote CDM so ni zamu yake kuonesha umwamba!!
 
Chadema mna gubu sana.



Wenzenu wana shughuli yao nyie mnataka kuwavurugia.

kama wanawake wa kiswahili vile.

Mwenzako ana harusi yake, wewe unawasha radio kwa sauti ya juu nyimbo za taarab.
unaoneka hata mmeo hujampa mbususu leo kwasababu ya mkutano wa nishati gesi maccm majinga kabisa
 
Chadema ya lisu ni ya hovyo kuliko ya mbowe na maisha yake ni mafupi sana, mihemko mingi sana
 
Hiyo press na huo mkutano vinaingiliana vipi mpaka polisi wakimbilie kunako ofisi za chadema kuzuia? Wangeacha tu maana media zipo nyingi na zina uwezo wa ku cover matukio yote mawili kwa wakati mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…