-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 845
- 1,501
Dah CCM kwasasa wamekuwa na hofu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi kejeli hasisaidii. Kama Mbowe alishindwa Lissu atawezaje?Mbowe alikuwa mshenzi sana na legelege kupindukia.
Lissu ni kiboko wa CCM akifika hapo makao makuu Polisi watatimua mbio.
Ushindi wao ulikukera Sana😀😆😃Nashauri wapigwe sana
Tuache kufikiri huu uonevu wa kisiasa ni intelligence, zaidi sana ni ignorance.Mbona kama hakuna uhusiano wa mkutano wa marais wa Africa na press ya Chadema? Anyway, mambo ya intelligence labda hatuwezi kujua sana.
Wewe kama nani uwapangie chadema siku za kufanya pressAkili hamna kwan hi press akifanya tarehe 29 kuna nn au akifanyia online kuna tatizo gan? Tuna jambo la kitaifa leo msitusumbue vipanya nyie
Chairman Yuko wapi? Jamaa walikuwa wanataka kiki?Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.
View attachment 3215420
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.
View attachment 3215428
Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.
View attachment 3215422
View attachment 3215487
Pia, Soma: Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika kuongea na Waadishi wa Habari Makao Makuu ya Chama, Mikocheni
Watasikia tuu si Dunia kama Kijiji!wanaogopa wageni wasije wakasikia
Huna uwezo wa kunipa darasa,kilichofanyika ni woga tu wa CCM. Press ya Katibu mkuu wa Chadema haiwezi ku jeopardise usalama wa nchi,hizo cheap propaganda waambie watoto wadogo. Tumewazoea kutumia polisi kuhujumu shughuli za kisiasa za wapinzani.Imenifikisha sehem ambayo naelewa kwann press inazuiliwa hivyo imenisaidia kweny uelewa wa mambo. Sasa kama unakiri hauna hio elimu usibishe weny elimu tukiktoa darasa unatakiwa ukae chini utusikilize sio unakuja na mihemko na matusi.
Mbowe alilamba asali akawa anamchekea Samia vipi Lissu kachukua hatua gani?Sonona!
Asee tunaelekea pabayakama hali itaendelea hivi siku za usoni wageni wanavyokuja watu wa dar mtaambiwa msijaamiane mpaka wageni waondoke
Vipi kachukua hatua gani? Maana Mbowe alilamba asaliMnamuogopa Lissu maana anajibiwa na viongozi wote wa CCM na chawa wake
Na lile tumbo lake soon atakimbilia ubelgiji hao mbwa wake watatia akili.Mbowe alikuwa mshenzi sana na legelege kupindukia.
Lissu ni kiboko wa CCM akifika hapo makao makuu Polisi watatimua mbio.
Kama mliweza kumdharilisha na kumtukana mwenyekiti wenu wa miaka 21 sishangai kwangu.Jinga wewe, CHADEMA wasifanye shughuli zao kwa sababu zipi za msingi haswa?
Lissu kamtukana sana Mbowe kuwa alikua legelege na mlamba asali…. Kapanua sana domo kuonesha wenzie hawakua chochote CDM so ni zamu yake kuonesha umwamba!!Hizi kejeli hasisaidii. Kama Mbowe alishindwa Lissu atawezaje?
Jee kushindwa Kwa Mbowe kulileta faida gani kama kulivyo kushindwa Kwa Lissu kupambana na Polisi kutaleta faida gani kwa CHADEMA?
Yaani Kwa kuwa tu ulikuwa unampinga Lissu Leo matendo ya polisi dhidi ya CHADEMA unayashangilia?
Kumbe kuna watu wengi tu ndani ya hivi vyama wapo Kwa maslahi yao kiasi kwamba maslahi yao yakiondoka wanakuwa maadui wa taasisi walivyokuwa wanasema wanaiunga mkono.
Inasikitisha sana
unaoneka hata mmeo hujampa mbususu leo kwasababu ya mkutano wa nishati gesi maccm majinga kabisaChadema mna gubu sana.
Wenzenu wana shughuli yao nyie mnataka kuwavurugia.
kama wanawake wa kiswahili vile.
Mwenzako ana harusi yake, wewe unawasha radio kwa sauti ya juu nyimbo za taarab.